Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.

Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.

Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.

Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.

Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.

Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.

Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .

NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Mnaimaliza nchi wenu wenyewe kwa tuliosomea Cuba inamaana kubwa sana means I don't care is up to u
 
Maza badala ya kula vichwa kawaomba "watupishe" ikiwapendeza wenyewe lakini.
 
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.

Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.

Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.

Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.

Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.

Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.

Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .

NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Wapigaji wana nguvu sana kuliko serikali mama anatuangusha sana haiwezekani watu watuibie kodi zetu alafu hachukui hatua
 
Mwendazake hayupo sasa hili zigo mtamtwisha Nani.
Mwigulu, 'The fall guy'!
Mwigulu kishanaswa kwenye mtego, sijui atajinasua vipi!

Kelele zote bungeni zinaelekezwa kwake, na siyo kunakostahili zielekezwe.

Mama anadhani yeye ni mjanja sana!
 
Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.

Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.

Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.

Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.

Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.

Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.

Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .

NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Mweeeee ubhuye kongone tunywee urahe
 
Mwigulu, 'The fall guy'!
Mwigulu kishanaswa kwenye mtego, sijui atajinasua vipi!

Kelele zote bungeni zinaelekezwa kwake, na siyo kunakostahili zielekezwe.

Mama anadhani yeye ni mjanja sana!
Mwigu atolewe tu kafara maana Katiba imemfanya Rais kuwa kama mungu mtu.
 
Kuna watu wanamhujumu mama Ili badae wapate sababu za kusemwa hatoshi. Nchi wakubwa wanashindana kuiba na hakuna hatuna zozote kweli
 
o "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.
Ni akina nani hawa?
Hawa wanaweza kuwepo bila yeye kuwa mmoja wao; na hata kuwa kiongozi wao na mshiriki mkuu?

Habari hii ni ya kuokoteza visababu ili kupoteza lengo.
 
Wakubwa wa wezi wapo, hata Magu aliwahi kukiri kuwa ukiwagusa hao Nchi itatikisika.
 
Kuna WIZARA zinashindwa hata kulipa pesa za likizo, Mfano WIZARA ya Elimu sayansi na teknolljia hrafu kunawatu wanajichotea tu. Mama awe mkali Kwa wasaidizi wake
 
Mwigu atolewe tu kafara maana Katiba imemfanya Rais kuwa kama mungu mtu.
Sina tatizo na wakilana shingo wao kwa wao.

Lakini hii habari ya "Katiba" nayo tusiipeleke mbali mno bila ya sababu za msingi.
Rais dhaifu kama huyu hata hiyo katiba mbovu haiwezi kumsaidia chochote.
 
nikitazama mshahara wangu jinsi unavyokatwa...na watu wanaishi maisha mazuri kwa makusanyo haya.. iko siku nitachoka nitafanya jambo la ajabu mno hii nchi inikumbuke daima... kama shujaa wa wanyonge nilotenda jambo kuonesha kuwa si Watanzania wote hatuna akili au ni mazwazwa kwa uoga.. tunapiga kelele matendo sifuri.. haki inatafutwa kwa hatua moja zaidi..

1.mshahara nakatwa
2.kila nachonunua nimewekewa kodi
3.kiofisi changu kidogo bado nasakamwa na TRA,manispaa,Serikali ya mtaa ..

Asee ni unyonyaji mno..bado mikataba ya wazi unaona wizi... ma V8 new model kibao (STL,STM,STK,Nembo mbali mbali wananunuliana tu hadi rush za 2023 wanazo asee
 
Wakubwa wa wezi wapo, hata Magu aliwahi kukiri kuwa ukiwagusa hao Nchi itatikisika.
Duh!

Naikumbuka hii.
Watu wa kuogopwa hata na mtu aliyejitia ukichaa?
Ni watu wa namna gani hawa? Ni watu wa hapa hapa; toka nje, au muunganiko wa nje na hapa!

Nakumbuka alisema "gesi" tulishang'anywa. Ni akina nani hawa, akina Kikwete na Wachina?
 
Mama anaunda tume tu lakini matokeo ya hizo tume hatupewi taarifa ingawa zinatumia pesa zetu nyingi sana!! Halafu huwa hazipewi muda maalum wa kumaliza kazi zake hivyo huendelea kulamba asali indefinately! Tafadhali punguzeni hizi tume kwani matumizi yao dio yanayotuongezea TOZO wakati huu ambapo wananchi wanaumizwa na mfumuko wa bei; maharage kilo Shs. 4200 hii haijawahi kutokea!
Tatizo siyo matokeo, shida ni akina nani wapo kwenye hiyo ripoti, RIPOTI ZINGINE ukiletewa kwa mbaali utajikuta unajisoma mwenyewe kimasihara.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Duh!

Naikumbuka hii.
Watu wa kuogopwa hata na mtu aliyejitia ukichaa?
Ni watu wa namna gani hawa? Ni watu wa hapa hapa; toka nje, au muunganiko wa nje na hapa!

Nakumbuka alisema "gesi" tulishang'anywa. Ni akina nani hawa, akina Kikwete na Wachina?
Ndo hao chanzo Cha matatizo, hawali pekeao, wanapeleka pia nje Kwa mabeberu,

Ukiwagusa wanakotumia siafu, hapalaliki.
 
Hii tabia ilianza lini nchini mwetu?
Nakumbuka kuna wakati tulikuwa hatutishwi kiasi hiki. Ina maana hatuko huru tena?

Mkuu Rabbon, nimalize huu mjadala usiotupeleka kokote:

Sikubaliani na hii dhana hata mara moja. Hivi ni visingizio tu vya hawa wanaotumiwa kunyang'anya mali zetu.

Mbaya zaidi ni hata sisi wananchi tunakubali upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom