Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

Nashanga watu wanamsifu raisi ..shida ni za watendaji wake khaa..

Nayeye anakubali watumie shs.Bilioni 80 kumsifia huku watu wanakufa njaa kwani hawawezi hata kununua kilo ya unga licha ya maharage!! Jamani hebu zioneeni huruma hizo pesa zeta mnazozitoa kwa kutukamua TOZO!
 
Mazuri yote ni ya Samia, hivyohivyo kwa yasiyo mema. Msimwangushie Mwigulu jumba bovu.
Wabunge ni wanafiki sana mtu anasimama anasema raisi anafanya kazi nzuri halafu yakija kwenye mapungufu eti watendaji wanashushiwa jumba bovu
 
Wapigaji majizi yana nguvu kuliko kiranja mkuu. 😁😁😁😁🤣 akawaza weee akaona bora awatukane stupid hapo ndio kamaliza.
 
2030..uwiii.. ee Mungu.
 
Mwakani ndio mtaona Madudu zaidi.

Kaeni mkao wa kula.

Mama hadi aje afikishe miaka 70 mwaka 2030 hii nchi itakua imebakia mifupa.
 
Mama ni sehemu ya wapigaji na anajuajua fika kuwa ndio waliomuweka madarakani ili asimamie wizi wao na akiwagusa tu, 2025 hatunaye
 
Nitaongoza kwa matendo makali na sio maneno makali

Alisema sasa karudi na "stupid pumbavu" matendo makali yako wapi mwizi unacheka nae ? Mwizi anaveshwa pira pigwa petrol kiberiti washa moto
Ipelekwe bungeni bill ya kuwa na "firing squad" itakayohusika kuwashughulikia hadharani wezi wote wa Mali ya umma. Tuachane na 'kutumbua' hadharani!
 
Lazima Rais atachukua hatua kali.
Naamini hivyo.
Hawezi kulea wezi wa mali za umma, ikumbukwe kuwa yeye ndiye mlinzi mkuu wa mali za watanzania.
Keep strong and courageous, our president.
 
Reactions: Ame
Lazima Rais atachukua hatua kali.
Naamini hivyo.
Hawezi kulea wezi wa mali za umma, ikumbukwe kuwa yeye ndiye mlinzi mkuu wa mali za watanzania.
Keep strong and courageous, our president.
Pirato: Mngetaka tuwafanyie nini Pasaka hii Ila msimsuribishe huyu?

Mafarisayo & Masadukayo: Tufungulie Baraba (Sabaya) mwondoshe huyu,

Mtu ukiwa unamwogopa ogopa utaishia kumbwekea bwekea tu Ila hutomfanya chochote

Sasa bwekabweka za Mama means jamaa wanaokwiba pesa za Umma (wezi & walanguzi) either anawaogopa au kwenye huo wizi na yeye anahusika maana yeye ndio signatory (mtiaji saini wa mwisho) anaeidhinisha pesa zitoke, kuna hayo mawili

Sabaya Out yupo uraiani
 
Lazima Rais atachukua hatua kali.
Naamini hivyo.
Hawezi kulea wezi wa mali za umma, ikumbukwe kuwa yeye ndiye mlinzi mkuu wa mali za watanzania.
Keep strong and courageous, our president.
Ripoti ya CAG mwaka Jana alichukua hatua ipi?

Walidhani kumtoa sabayea kutahamisha mada.

Bad enough, wezi wanalindwa Kwa ulinzi mkali, wananchi wanalala jicho moja wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…