Hawa ndiyo wameshika rimoti ya serikali. Wanaamuru nini kizumgumzwe na nini kisizungumzwe, nani atoke na nani aingie. Kila anayepingana nao hujikuta pabaya. Lazima waufyate.Ni akina nani hawa?
Hawa wanaweza kuwepo bila yeye kuwa mmoja wao; na hata kuwa kiongozi wao na mshiriki mkuu?
Habari hii ni ya kuokoteza visababu ili kupoteza lengo.
Duh π !Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.
Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.
Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.
Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.
Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.
Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.
Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .
NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
Escrow = awamu ya Nne !Hivi wale walioenda na viroba na magunia kwenye Ile bank na kutoka yamejaa hawakuwa wezi au, na sikumbuki ilikuwa ni awamu ya nani!!
Duh π!
Mkuu, sitafuti ubishi.Hawa ndiyo wameshika rimoti ya serikali. Wanaamuru nini kizumgumzwe na nini kisizungumzwe, nani atoke na nani aingie. Kila anayepingana nao hujikuta pabaya. Lazima waufyate.
Nikuoe mfano. Awamu ya 5 Makonda alikuwa anaogopwa mpk na PM na VP wa wakati huoMkuu, sitafuti ubishi.
Kwa hiyo dhana hii ninaikataa katakata.
It's just a figment of imagination.
Hakuna watu wa aina hiyo hapa kwetu kwa sasa hivi.
May be we're just wishing for them to exist. But why?
EeeehHeeee Heeee!Nikuoe mfano. Awamu ya 5 Makonda alikuwa anaogopwa mpk na PM na VP wa wakati huo
Hivi Sasa Kuna watu wanaogopwa. Ukiendelea kubisha nitakupatia majina
Kulikuwa na mtu anaitwa Ugurumo siyo yule hayati Muhidini wa msondo ngoma, la hasha ni product ya Msoga.Hivi wale walioenda na viroba na magunia kwenye Ile bank na kutoka yamejaa hawakuwa wezi au, na sikumbuki ilikuwa ni awamu ya nani!!
Jeshi la nchi hii hakijawahi kuwa serious hata mara moja. Lingekuwa serious jiwe asingemaliza hata mwaka madarakani.Nchi hii ikiendelea na upuuzi wa namna hii sitashangaa tukishuhudia jeshi likichukua jukumu kuwaondoa hawa wapuuzi.
Si ndio hapo Sasa yaani pesa wale wengine harafu lawama abebe Mwigulu Kwa kipi hasa?Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma.
Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya.
Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama ikafuatia, ikataja madudu kibao .....mama kimya.
Hatujakaa sawa mama akatamaka mwenyewe kwamba kuna wakware wameweka fedha za plea bargaining kwenye akaunti binafsi nchini China.....mpk leo mama kimya.
Ofisi ya CAG ikiongozwa na Kichere imekuja na ripoti nyingine yenye madudu kibao ...mama anaishia kulalamika tu.
Watu badala ya kumlaumu mama wanamlalamikia Mwigulu. Unataka Mwigulu afanye nn ikiwa mama mwenyewe anawagwaya wapigaji???.
Siyo siri tena kwamba waapigaji wana nguvu kuliko serikali .
NIMEMALIZA (kwani mnanilipa?)
πππππKulikuwa na mtu anaitwa Ugurumo siyo yule hayati Muhidini wa msondo ngoma, la hasha ni product ya Msoga.
Alikuwa mnikulu mkuu.
Ukiwaeleza habari hizo watu wa Uganda au Msumbiji watakushangaa sana, na hawataweza kamwe kukuelewa unachoeleza.Jeshi la nchi hii hakijawahi kuwa serious hata mara moja. Lingekuwa serious jiwe asingemaliza hata mwaka madarakani.
Mambo ya hadithi za kale haya.Ukiwaeleza habari hizo watu wa Uganda au Msumbiji watakushangaa sana, na hawataweza kamwe kukuelewa unachoeleza.
Hiyo ndiyo taasisi pekee ndani ya nchi hii iliyobaki na heshima, angalau kidogo.
Basi , kumbe wewe una hadithi za kileo ambazo ndizo hizi tunazoziona kwenye mada yako hii.Mambo ya hadithi za kale haya.
Huko nyuma jeshi lilikuwa linajitambua ndiyo maana lilifanya majaribio kadhaa ya utaka kumpindua Nyerere.
Baada ya majaribio hayo ndipo jeshi likachakachuliwa mpka leo halina chochote..
Sasa Uganda kulikuwa na jeshi gani miaka ya 1970 mpk tujipige kofia kwa kulishinda?Jeshi lilipokwenda Uganda "halikuwa na chochote"?
Sasa jeshi letu liliwashinda makabiru?Jeshi liliposhiriki katika mapambano na makaburu, hilo lilikuwa jeshi la "kuchakachua" kama unavyosema hapa?
naona mjadala huu huuwezi, kwa sababu hujui kitu au una lako jambo tu jingine.Sasa Uganda kulikuwa na jeshi gani miaka ya 1970 mpk tujipige kofia kwa kulishinda?
Sasa jeshi letu liliwashinda makabiru?
Huko Congo tu kwa waasi wa M23 si unaona tunavyorudisha mizoga kila mwaka??