Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Anacho Manisha hapa Mr' Guy ni kile kilicho katka mtaala mpya (wa kipumbavu).hawa jamaa ni wa ajabu sana, kuna sababu kwa nini inaitwa "elimu ya msingi", siajabu hawaelewi hata ni kwa nini inaitwa hivyo vinginevyo wasingekuja na ujiga kama huu, halafu inakuwa miaka 10? i mean, mtoto atamaliza elimu ya msingi akiwa na miaka mingapi?
hata kenya wenyewe wanapunguza miaka ya elimu ya msingi ktk 8 ya sasa hivi mpaka 6 kuna sababu, elimu ya msingi haiwezi kuwa miaka mingi namna hiyo unless labda watoto wana matatizo ya akili na wanahitaji special education.
hivyo elimu ya msingi ilipaswa kupunguzwa na siyo kuongezwa au badilisheni jina na msiite msingi ...
Elimu ya Msingi darasa la 1-6 then secondary education form 1-4.
Total inakua miaka 10, walicho fanya ni kuunganisha maana yake Elimu ya secondary imeondolewa badala yake imerudishwa Kuwa msingi