Hawa Mbona Wanawachanganya Wazazi
Mara Miaka 6,Mara Miaka 10
CCM Iache Kuivuruga Elimu Tanzania
Shule ya msingi miaka 6, darasa la kwanza mpaka la sita.Miaka kumi mtoto atakuwa anasomea nini huko msingi? Na sekondari itakuwa miaka mingapi? Si kuna watoto wataishia darasa la sita kwa hiyo wataongezewa madarasa manne mbele ili iwe kumi? Je utekelezaji wa mpango huu utaanza mwaka gani?
Lazima akili zitukae sawa.. Huu ndo mchaka mchaka chinjaHalafu viongozi bado hawajatoa ufafanuzi vizuri hadi sasa, hii inamaanisha wamekurupuka.
Sio Tanzania, ni Tanganyika.. Kwani zanzibar wanafanya ujinga huo??Hawa Mbona Wanawachanganya Wazazi
Mara Miaka 6,Mara Miaka 10
CCM Iache Kuivuruga Elimu Tanzania
KWA WAZAZI WOTE, KABLA HUJACHAGUA SHULE YA KUSOMA MWANAO, KAMA UTACHAGUA ASOME PRIVATE SCHOOL, MZAZI UJIANDAE KUMLIPIA ADA KWA MIAKA 10 YA ELIMU HIYO YA MSINGI
Sasa hiyo si ipo hata sasa,hapo vilaza wamekutana wanapiga blah blah tuMiaka 10 ikiwa na maana darasa la kwanza mpaka la 6 then sekondari form 1 mpaka form four. Ndio miaka kumi hiyo.
Nadhani kuna tofauti ya (ELIMU YA MSINGI) NA (ELIMU YA SHULE YA MSINGI) wao wanazungumzia elimu ya msingi kuwa miaka 10 siyo elimu ya shule ya msingi kuwa miaka 10Miaka kumi mtoto atakuwa anasomea nini huko msingi? Na sekondari itakuwa miaka mingapi? Si kuna watoto wataishia darasa la sita kwa hiyo wataongezewa madarasa manne mbele ili iwe kumi? Je utekelezaji wa mpango huu utaanza mwaka gani?
Kwa vile mi nimeshamaliza kusoma level zote za elimu basi Sina tabu. Nabanjuka tu!Lazima akili zitukae sawa.. Huu ndo mchaka mchaka chinja