Wanaposema elimu ya msingi sio kwamba elimu ya shule ya msingi bali ni elimu inayojumuisha miaka 6 ya elimu ya shule ya msingi + miaka 4 ya shule ya sekondari (O-Level)...
Kwa lugha nyingine wanataka walau kila Mtanzania awe na elimu kiwango cha form 4...
Hivyo mtoto anaweza akasoma mahali popote wakati wowote, kwamba akifaulu mitihani ya darasa la 6 anaweza akachaguliwa kusoma shule za sekondari za serikali kama ambvyo imezoeleka...
Vipi kuhusu wanao, wapwa, au hata wajukuu??Kwa vile mi nimeshamaliza kusoma level zote za elimu basi Sina tabu. Nabanjuka tu!
Hao watasoma hiyo miaka kumi ya lazima. Hawana namna ambayo baba/babu yao ninaweza kuwasaidia.Vipi kuhusu wanao, wapwa, au hata wajukuu??
Na ndo tatizo.. Nimekafikiria katoti kangu ka mwisho nimezaa na mwanamke wa mbagala huko, Navuta picha mfano kanasoma pale tandika primary miaka 10, si kanarudi na mjukuu kabisa. na ndo kakike kapo pekeake..Hao watasoma hiyo miaka kumi ya lazima. Hawana namna ambayo baba/babu yao ninaweza kuwasaidia.
Kama bado ni mdogo mwingize mapema. Halafu kwa mfumo huu, inawezekana mwanafunzi akishafika darasa la saba anahesabika kama yuko form one, akiwa darasa la kumi ni kama Yuko form four. Elimu ya secondary ni form five na six.Na ndo tatizo.. Nimekafikiria katoti kangu ka mwisho nimezaa na mwanamke wa mbagala huko, Navuta picha mfano kanasoma pale tandika primary miaka 10, si kanarudi na mjukuu kabisa. na ndo kakike kapo pekeake..
Kwamba akitoka la kumi anaenda five??Kama bado ni mdogo mwingize mapema. Halafu kwa mfumo huu, inawezekana mwanafunzi akishafika darasa la saba anahesabika kama yuko form one, akiwa darasa la kumi ni kama Yuko form four. Elimu ya secondary ni form five na six.
Ninavo andika la kumi najiskia kichekesho saana. nitapata tabu kuzoea hili neno.Kama bado ni mdogo mwingize mapema. Halafu kwa mfumo huu, inawezekana mwanafunzi akishafika darasa la saba anahesabika kama yuko form one, akiwa darasa la kumi ni kama Yuko form four. Elimu ya secondary ni form five na six.
Kwamba akitoka la kumi anaenda five??
Nadhani ni hivyo japo Sina uhakika.Ninavo andika la kumi najiskia kichekesho saana. nitapata tabu kuzoea hili neno.
Aisee, nimesikia wanaanza kutoa na ajira za msimu. Unaajiriwa miaka mitatu. Ikiisha hyo nenda kwenu aje aajiriwe mwingine. Umeiskia hiyo???Nadhani ni hivyo japo Sina uhakika.
Hiyo Leo nimeisikia bungeni 😂. Noma kweli yaani.Aisee, nimesikia wanaanza kutoa na ajira za msimu. Unaajiriwa miaka mitatu. Ikiisha hyo nenda kwenu aje aajiriwe mwingine. Umeiskia hiyo???
Aisee.. Huu mwaka mpaka uishe, tutaona mengi sana. Mtu anafanya kazi miaka 35 anastasfu na anazikwa kwenye nyumba ya shirika, leo hii unampa ajira mtu unamlipa laki 5/month kwa miaka mitatu unategemea awe na mtaji???? Labna kama utampa na hela za nauli, chakula, bima ya afya, nyumba ya kuishi na kiinua mgongo juu. Kinyume na hapo wawaache tu.Hiyo Leo nimeisikia bungeni . Noma kweli yaani.
Bora wapunguze umri wa kustaafu. Mwisho iwe miaka 45, naamini vijana wataajiriwa sana 😂.Aisee.. Huu mwaka mpaka uishe, tutaona mengi sana. Mtu anafanya kazi miaka 35 anastasfu na anazikwa kwenye nyumba ya shirika, leo hii unampa ajira mtu unamlipa laki 5/month kwa miaka mitatu unategemea awe na mtaji???? Labna kama utampa na hela za nauli, chakula, bima ya afya, nyumba ya kuishi na kiinua mgongo juu. Kinyume na hapo wawaache tu.
Tatizo la Elimu ya nchi yetu sio miaka ni ubora wa ELIMUWaziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akihitimisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu amesema kuwa elimu ya msingi sasa kuwa miaka 10
---
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa mfumo mpya wa elimu utakaofanya elimu ya msingi kuwa ya lazima kwa kipindi cha miaka kumi, akisema ni sehemu ya mageuzi makubwa yaliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akihitimisha hotuba yake ya bajeti bungeni, Dkt. Nchemba amesema mageuzi hayo ni ya kihistoria kwani mara ya mwisho mabadiliko makubwa ya mfumo wa elimu yalifanyika mwaka 1967, wakati elimu ya lazima ilipopanuliwa kutoka darasa la nne hadi la saba.
Amesema mabadiliko hayo hayaishii kuongeza muda wa masomo pekee, bali yanaambatana na maboresho ya kina yaliyokuwa yakihitajika kwa muda mrefu, ikiwemo kuboreshwa kwa mitaala na miundombinu ya elimu.
"Mheshimiwa Rais ameonyesha ujasiri mkubwa wa kufanya maamuzi haya bila kujali gharama ili kuhakikisha watoto wa Kitanzania wanapata elimu bora," amesema Dkt. Nchemba.
Ameeleza kuwa maandalizi ya utekelezaji wa mpango huo yamefanyika kwa kiwango kikubwa, huku hatua zilizobaki zikiendelea kukamilishwa ili kuhakikisha utekelezaji wake unakuwa wa mafanikio.
Katika kuimarisha elimu ya ufundi, amesema serikali imeongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya shule kutoka takribani tano zilizokuwepo awali hadi zaidi ya 300, zikiwemo shule za awali na za ufundi, ambapo nyingi zina mwelekeo wa masomo ya kihandisi.
Aidha, amesema ujenzi wa madarasa 79,000 umeondoa changamoto ya mfumo wa "second selection" uliokuwa ukiwanyima baadhi ya wanafunzi fursa ya kuendelea na masomo.
Hahahahaaaa.. Mbona wakifanya hivo maofisi yatabaki matupu yote. Maana huko maofisini utadhani nyumba ya kulea vikongwe.Bora wapunguze umri wa kustaafu. Mwisho iwe miaka 45, naamini vijana wataajiriwa sana .
Kumbuka vijana wasio na ajira ni wengi hivyo ofisi lazima zijazwe tu.Hahahahaaaa.. Mbona wakifanya hivo maofisi yatabaki matupu yote. Maana huko maofisini utadhani nyumba ya kulea vikongwe.
Noma saana mkuu.. Hii nchi ikiendelea hivi watoto wetu watalia zaidi. Bora kama mtu unamtaji kidogo uanzishe biashara ya muda mrefu uje uwarithishe wanao, au ununue shamba uanze kilimo cha biashara na ufugaji ili uje uwafundishe wanao. Kinyume na hapo WATAKOMAKumbuka vijana wasio na ajira ni wengi hivyo ofisi lazima zijazwe tu.
Umenena vizuri sana. Mtoto anaposoma awe anatafuta maarifa ya kupambana na maisha si kupalilia njia ya kuajiriwa.Noma saana mkuu.. Hii nchi ikiendelea hivi watoto wetu watalia zaidi. Bora kama mtu unamtaji kidogo uanzishe biashara ya muda mrefu uje uwarithishe wanao, au ununue shamba uanze kilimo cha biashara na ufugaji ili uje uwafundishe wanao. Kinyume na hapo WATAKOMA
Kweli kabisa. Me sitamani mwanangu hata mmoja aajiriwe, asjira ni utumwa saana na ni ngumu kuanzia kuipata mpaka kuiishi, na ukistaafu unateseka tena ku adopt mazingira ya kwenye jamii maana unamiaka zaidi ya 35 hukuwepo hapo.Umenena vizuri sana. Mtoto anaposoma awe anatafuta maarifa ya kupambana na maisha si kupalilia njia ya kuajiriwa.
Naona vijana wanaosoma wameshaanza kulitambua hilo kitu ambacho kitwafanya wasikae wakisubiri ajira.
Dah, wastaafu wengine hapa mtaani nawaonea huruma kweli kweli.Kweli kabisa. Me sitamani mwanangu hata mmoja aajiriwe, asjira ni utumwa saana na ni ngumu kuanzia kuipata mpaka kuiishi, na ukistaafu unateseka tena ku adopt mazingira ya kwenye jamii maana unamiaka zaidi ya 35 hukuwepo hapo.