Dr mwigulu go on fanyeni kila muwezavyo mkamilishe miradi yote iliyopo kwanza kukusanya mapato kwa njia hii itasababisha serekali yetu kukusanya fedha nyingi ambazo zitaenda kukamilisha miradi adhimu iliyopo
Kukusanya mapato tunaunga mkono 100%
Lakini kwenye hili tutafeli 100% kwasababu miamala itapungua Kwa zaidi ya nusu ya sasa. Mtu atafanya muamala wa simu pale tu inapokuwa hakuna options.Tafsiri yake ni kwamba hata ile Kodi iliyokuwa ikikusanywa sasa haitapatikana
 
Dr mwigulu go on fanyeni kila muwezavyo mkamilishe miradi yote iliyopo kwanza kukusanya mapato kwa njia hii itasababisha serekali yetu kukusanya fedha nyingi ambazo zitaenda kukamilisha miradi adhimu iliyopo
We mpuuzi kweli,so unaona hizo huduma watu wataendelea kutuma pesa KWA wingi kama Zamani.
Ndo Mana nimesema Huyu mchumi Gani asiyejua mambo ya uchumi?

Watakao umia ni wa vibanda vya Kutokea/kuweka pesa maana flow itapungua.
Kweli nitume million na ya Kutolea jumla 30000 au nipande gari nipeleke physically?

Nani amepata hapo na nani amekosa?
 
Bunge limejaa vilaza wa CCM tupu nani wa kuhoji ? Wao walichoona cha maana ni kutaka waongezewe mishahara na kupigiwa saluti.
 

Jumbe Brown unakwitwa huku kwa ajili ya ufafanuzi tafadhali.
 
Hivi mapato ya kipungua ktk hili na serikali kukosa kodi,si Huyu waziri anaingia ktk uujumi uchumi wa nchi?
 
Hana tofauti na kingwangala vyeti vimeshindwa kuwasaidia.Heri apewe kishimba angepewa wizara hio.
Wanaachwa watu smart kama kina Dr Kimei,huyu msingida alaaniwe kabisa
Mzee wa makafara anajiliwaza kwa machungu ya kukosa uwaziri
Your browser is not able to display this video.
 
Na ndo madhara ya kubaki na bunge la chama Moja wanakuwa wanakosa watu wakutoa check and balance, huyo zungu alijiropokea tu huko bungeni kisa Raia wengi hutumia miamala, Yani kuongezea mia Moja kwenye Kodi ni kubwa Sana kwa mtu wa kipato Cha chini.
Rais Samia asiporekebisha uchumi na wapinzani wakiruhusiwa atapata shida sana Kwa kweli, maana mawakala wa simu watakuwa jobless, Bado ajira plus machinga na mzunguko mdogo
 
ata tukiongea haita saidia. wakishaamua wameamua. ata baada ya mwezi wakipandisha tena mtapiga tu kelele kwenye mitandao mwisho wa siku makato yataendelea kama kawaida.
Hii haina maana ni sahihi kukaa kimya. Kuna tatizo kwenye kodi hata kama lengo ni maendeleo.
Fikiria ikiwa, mfano, watu wa Dar wataacha kutumiana pesa na badala yake wakatafutana nakupeana ni kiasi gani serikali itapoteza pato.
Mfano, nimeenda kununua mabati kiwandani ya shs milioni 3, sasa huwa napenda kutuma kwa m-pesa , kwa kuwa tozo imeongezeka naamua tu kulipa cash. Serikali itakosa kiasi gani hapo. Huu ni mfano ambao mimi binafsi nimeutumia sana.
Unatafutaje pesa kwa kupoteza pesa na bado unaamini utapata?
Pia kwenye mafuta tozo ni nyingi na watu wanaweza kupunguza matumizi ya mafuta. Mfano ofisi inayotumia magari matatu inaamua kutumia gari moja, watu binafsi wanapunguza safari, hii ina maana gani?
Kodi hazipaswi kuathiri matumizi katika uchumi ikiwa ni hivyo zinakuwa hazina maana. Hii haihitaji udokta kujua.
 
Mzunguko wa hela mtaani unaenda kufa bora hata magu aliwakamua wenye nazo hizi tozo za ajabu ni kuja kuumiza maskini na kuwamaliza kabisa kiuchumi
 
Ivi kati ya Magu na Mama nani ana/Ali upiga mwingi?
 
Mzunguko wa hela mtaani unaenda kufa bora hata magu aliwakamua wenye nazo hizi tozo za ajabu ni kuja kuumiza maskini na kuwamaliza kabisa kiuchumi
Yani mama Samia na Mwigulu wanaenda kuua kabisa uchumi imagine kupandisha mafuta na nauli zitapanda na kila kitu kitapanda hicho hakijatulia kaongeza na makodi ya miamala Tena ime doubt Mara mbili kabisa kisa kumaliza mamiradi yenye feasibility study ya 1970 huku wananchi wakifa. Nikikumbuka jinsi mpesa, Airtel money, tigo pesa jinsi zimeajiri maelfu ya watu na kipindi Cha Magu walikuwa wanalia na mzunguko na Sasa wamepandisha makato watapiga miayo Sana, tungekuwa na upinzani timamu ya kupigia kelele agenda hizi tungefika mbali
 
Cc RRONDO
 
Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
Tumkumbuke kivipi?..kwamba maisha yalikuwa malaini sana kipindi chake au?..
 
Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
Dah mkuu imekuwaje tena umipigwa Ban? Mods please mjitafakari. Kuna watu kabisa mkiwapiga ban ni dhahir kabisa ni uonevu
 
Anaongea kwa jeuri na kujiamini mtoto wa nje wa Msogani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…