Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Kukusanya mapato tunaunga mkono 100%Dr mwigulu go on fanyeni kila muwezavyo mkamilishe miradi yote iliyopo kwanza kukusanya mapato kwa njia hii itasababisha serekali yetu kukusanya fedha nyingi ambazo zitaenda kukamilisha miradi adhimu iliyopo
Lakini kwenye hili tutafeli 100% kwasababu miamala itapungua Kwa zaidi ya nusu ya sasa. Mtu atafanya muamala wa simu pale tu inapokuwa hakuna options.Tafsiri yake ni kwamba hata ile Kodi iliyokuwa ikikusanywa sasa haitapatikana