mwigulu ni waziri BOGUS kuliko wote. na huyo aliemteua nae naona ana walakini.

huyu mpuuzi ana akili za darasani. siyo akili za uraiani.

unajuwa unaweza kuwa na akili za kupata A darasani lakini ukija kitaa unakuwa wa bogus tu. ndo huyp mwigulu wenu.
 
Yaani mwigulu ni bonge la falla, kumbe ndiyo maana magufuli alikuwa anamchukia na ha mwamini hata kidogo, yaani kapata ka upenyo kadogo tuu anamdanganya na kumchonganisha mama wa watu.......!
 
Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Huu ndiyo uzezeta wa baadhi ya watanzania, kwamba hizo tozo wanatozwa Chadema tu? Kama wewe ni Baba wa familia basi umepoteza mwerekeo kabisa ,hata kama uko tabaka tawala mnachota tu resources zetu jua wananchi wa Tz wanadhulumiwa, hapo jioni hii nimetoa mpesa elf 50 tu,ila wamekata 4,750/=.....Huu ni wizi, viongozi wetu wameishiwa pumzi hawaoni mbele tena hawajui wafanyeje..........
 
Kwa hiyo mtoa mada unadhani haya yote Mwigulu ameyaweka yeye pasipo Boss wake Kujua?
 
Subirini dawa iwaingie. Hizi ni rasha rasha tu masika bado haijafika.
 
Kwenye hili la miamala Waziri husika itabidi atupishe.
Ni kawaida serikali kupima joto ila Kwenye hili wamechemsha.
Wangegusa kidogo wangefanikiwa.
Tujiandae tamko
 
Mwigulu ni kichaa katili kama mwendazake
 

Mwigulu hana kosa lolote. Anbatafuta kodi kutoka kwenye ulimwengu wa utandawazi. Tulipe kodi tutafute maendeleo. Ila lile bunge ni kubwa mno linatuongezea gharama nalo lipungue 😂 😂 😂 😂
 
Mimi nawaza pembejeo za kilimo tu. Wakulima tumepatikana na kama tumepatikana naona vyakula vikienda kupanda bei. Hapo tutalia na kusaga meno
 
Mwigulu hapaswi kuwepo kwenye ofisi yoyote ya Umma
 

magufuli aliamua kwenda direct in kwenye uwekezaji, inamaaana serikali ingekua na vyanzo vingi vya mapato ila mkamuona hana akili, amekuja mwingine, hamtaki miradi, hamtaki deni la taifa lipande na hamtaki kuchangia serikali so wafanye nn?
 
Kwenye hili wamechemsha. Tujiandae kwa pindua pindua. Ilibidi tozo ziwe za chini
 
Mwigulu pia weka kodi Kwa watumizi mitandao insta,fb,twita,tiktok n.k endeleeni kuupiga mwingi😃😃😃😃
As long as tupo huru na democrasia imetamalaki sie hatuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…