Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
Wao wanaona wanachoamua ni sawa hizi kodi zilitakiwa ziende na pains kwa upande wao pia!
 
Wao wanaona wanachoamua ni sawa hizi kodi zilitakiwa ziende na pains kwa upande wao pia!
Ndio viongozi wetu hawajuhi kuwa development ni inclusive ni vizuri kushirikisha wananchi ili hata Kodi ikiwepo isiwe inaumiza Sana wananchi na serikali ipate, shida watu wakipata madaraka huwa wanajiona Wana akili kuliko raia, wao wanaendeshwa kwenye ma viete in polepole voice, wanalipiwa bills na kila kitu so hawajui shida za raia wa chini misoto tunayoipata. A good leader lazima ajitahidi kuvaa viatu vya Raia wake wa chini bana
 
Nyerere aliweza sana hapa sababu hakuwa mbinafsi na mtu wa matanuzi😅 ya kifisadi!

Hawa wa sasa vichwa kweme yani akishaapishwa na mke anaagiziwa gari jipya kabisa 😅!!! Nina hakika kama wangekuwa japo wanakatwa 1M ya uzalendo kwa mawaziri na wabunge ingekuwa safi mno!
 
Nyerere aliweza sana hapa sababu hakuwa mbinafsi na mtu wa matanuzi[emoji28] ya kifisadi!

Hawa wa sasa vichwa kweme yani akishaapishwa na mke anaagiziwa gari jipya kabisa [emoji28]!!! Nina hakika kama wangekuwa japo wanakatwa 1M ya uzalendo kwa mawaziri na wabunge ingekuwa safi mno!
Halafu wabunge hawakatwi Kodi hata kidogo ndio maana wanaona it's okay kupandisha Kodi. I'm sure Hali ilivo ngumu watu watapunguza kutuma miamala kwa njia ya simu, heri nusu Shari kuliko Shari kamili
 
Halafu wabunge hawakatwi Kodi hata kidogo ndio maana wanaona it's okay kupandisha Kodi. I'm sure Hali ilivo ngumu watu watapunguza kutuma miamala kwa njia ya simu, heri nusu Shari kuliko Shari kamili
Mara ya kwanza naskia hilo nilishusha pumzi dah hawa jamaa hawatakaa wawe na uchungu kamwe! Yule zungu anatia kinyaa

Yani hela unatumiwa when neccessary aidha mgonjwa kazidiwa au umeblockiwa njiani na matrafiki! Vinginevyo dah hela utazifata geto tu mama aina jinsi
 
Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Hivi mbunge mwenyewe n dizain ya DEO SANGA wanaweza kuikataa bajet kweli hata kusoma hajui vizuri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom