binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Baada ya huo upigaji wa juzi hapa, kuna gari yake imeingia kimya kimya 0KM, 400M asifikiri hatufahamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanaona wanachoamua ni sawa hizi kodi zilitakiwa ziende na pains kwa upande wao pia!Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
Kumbe kaagiza mashine mpyaBaada ya huo upigaji wa juzi hapa, kuna gari yake imeingia kimya kimya 0KM, 400M asifikiri hatufahamu!
Hivi kila anayehoji vitendo vya serikali ni chadema tu? Haya mawazo ya ki chuma ulete ni sawa na ushirikina na kuendelea ni shida sana.Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Ndio viongozi wetu hawajuhi kuwa development ni inclusive ni vizuri kushirikisha wananchi ili hata Kodi ikiwepo isiwe inaumiza Sana wananchi na serikali ipate, shida watu wakipata madaraka huwa wanajiona Wana akili kuliko raia, wao wanaendeshwa kwenye ma viete in polepole voice, wanalipiwa bills na kila kitu so hawajui shida za raia wa chini misoto tunayoipata. A good leader lazima ajitahidi kuvaa viatu vya Raia wake wa chini banaWao wanaona wanachoamua ni sawa hizi kodi zilitakiwa ziende na pains kwa upande wao pia!
ana wasiswasi gani na ana ng'ombe zake za kukamua zipo tu anazilimbikiza mikodi.Kumbe kaagiza mashine
Nyerere aliweza sana hapa sababu hakuwa mbinafsi na mtu wa matanuzi😅 ya kifisadi!Ndio viongozi wetu hawajuhi kuwa development ni inclusive ni vizuri kushirikisha wananchi ili hata Kodi ikiwepo isiwe inaumiza Sana wananchi na serikali ipate, shida watu wakipata madaraka huwa wanajiona Wana akili kuliko raia, wao wanaendeshwa kwenye ma viete in polepole voice, wanalipiwa bills na kila kitu so hawajui shida za raia wa chini misoto tunayoipata. A good leader lazima ajitahidi kuvaa viatu vya Raia wake wa chini bana
Halafu wabunge hawakatwi Kodi hata kidogo ndio maana wanaona it's okay kupandisha Kodi. I'm sure Hali ilivo ngumu watu watapunguza kutuma miamala kwa njia ya simu, heri nusu Shari kuliko Shari kamiliNyerere aliweza sana hapa sababu hakuwa mbinafsi na mtu wa matanuzi[emoji28] ya kifisadi!
Hawa wa sasa vichwa kweme yani akishaapishwa na mke anaagiziwa gari jipya kabisa [emoji28]!!! Nina hakika kama wangekuwa japo wanakatwa 1M ya uzalendo kwa mawaziri na wabunge ingekuwa safi mno!
Dr mwigulu go on fanyeni kila muwezavyo mkamilishe miradi yote iliyopo kwanza kukusanya mapato kwa njia hii itasababisha serekali yetu kukusanya fedha nyingi ambazo zitaenda kukamilisha miradi adhimu iliyopoMwigulu must resign
Mara ya kwanza naskia hilo nilishusha pumzi dah hawa jamaa hawatakaa wawe na uchungu kamwe! Yule zungu anatia kinyaaHalafu wabunge hawakatwi Kodi hata kidogo ndio maana wanaona it's okay kupandisha Kodi. I'm sure Hali ilivo ngumu watu watapunguza kutuma miamala kwa njia ya simu, heri nusu Shari kuliko Shari kamili
Ameupiga mwingi mpaka umetoka nje ya uwanja"Mama anaupiga mwingi"- Mdau toka DM.
Hivi mbunge mwenyewe n dizain ya DEO SANGA wanaweza kuikataa bajet kweli hata kusoma hajui vizuriEbu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
... anaupiga mwingi...Kutuma hela mtandaoni imekua banaaa sasa
Athari za kutumia kinyeo kufikiri hizo,una maana huko CCM hakuna wenye akili timamu kutambua mema na mabaya ila wanapatikana Chadema tu?Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.