Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Mliwatetea sana matajiri sijui hawapendi sijui nini, sasa tuone Tajiri yupi atakayewatetea nyie wanyonge. Yule raisi wa wanyonge hayupo, awamu hii matajili watakenua meno tu,
Hakuna kampuni inafanya malipo kwa mpesa sasa siku nyingine muwe na akili
 
Serikali huwa inatafuta vyanzo vipya vya mapato.....

"BETTING" mikeka iliporasimishwa hatukusikia KELELE HIZO.....

#KaziIendelee
 
Mliwatetea sana matajiri sijui hawapendi sijui nini, sasa tuone Tajiri yupi atakayewatetea nyie wanyonge. Yule raisi wa wanyonge hayupo, awamu hii matajili watakenua meno tu,
Hakuna kampuni inafanya malipo kwa mpesa sasa siku nyingine muwe na akili
Hao matajiri WAMEAJIRI WATANZANIA WENGI TU baada ya serikali kushindwa kuajiri wasomi....

Tunataka tufuate uchumi wa KIKOMUNISTI?!!!

#KaziIendelee
 
Hao matajiri WAMEAJIRI WATANZANIA WENGI TU baada ya serikali kushindwa kuajiri wasomi....

Tunataka tufuate uchumi wa KIKOMUNISTI?!!!

#KaziIendelee
Acha kujikomba wewe, walipe kodi hao, uchumi gani ulinyanyuliwa kwa kumkamua bodaboda bana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Makato ni madogo sn madelu ongera makato haya ili miradi ya stigilsz goji na sgr iishe haraka,

Kama hutaki kukatwa hama nchi.

Mama bado anapiga mwingi

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Halafu wamepitisha mabadiriko ya sheria kumruhusu waziri wa fedha aweze kusamehe kodi. Kwa hiyo matajiri wasamehewe kodi halafu sie wanyonge watunyonge kisawasawa.
Magu alikua anawaambia matajiri mkija hapa mlipe kodi na kama mnaona hampati faida mfungashe muondoke na tuliingia uchumi wa kati
 
Waziri anasema bunge...ndo limepanga hizo tozo mpya.
 
Halafu wamepitisha mabadiriko ya sheria kumruhusu waziri wa fedha aweze kusamehe kodi. Kwa hiyo matajiri wasamehewe kodi halafu sie wanyonge watunyonge kisawasawa.
Magu alikua anawaambia matajiri mkija hapa mlipe kodi na kama mnaona hampati faida mfungashe muondoke na tuliingia uchumi wa kati
He he
IMG-20210715-WA0089.jpeg
 
Ili sio bure inawezekana mwendazake alijiongeza au ili timu yake wakat wanamzika walijiongeza
 
Unaacha kukusanya MABILLIONI kwa matajiri unakuja kukusanya BUKU BUKU uswahilini kwa wanyonge🤔
matajiri hao ni kina nani? Wakati wafanyabiashara wanalalamika kuwa trend ya kodi haiko sawa, wengi walisema ni wakweopa kodi. sasa wamefunga biashara zao. Inabidi wote tuanze kuchangia book book. Tuache kulialia
 
Tabia ya kuchukia UTAJIRI NA MATAJIRI ni tabia mbovu kuwahi kutokea DUNIANI.....

Tabia hiyo ndiyo inayorasimisha na kurithisha UMASKINI katika jamii zetu....

Ni tabia iliyowafanya nchi zote za KIKOMUNISTI kuwa ni za "kilofa" hadi hii leo....

Mathalani ULAYA YA MASHARIKI.....

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom