Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao matajiri WAMEAJIRI WATANZANIA WENGI TU baada ya serikali kushindwa kuajiri wasomi....Mliwatetea sana matajiri sijui hawapendi sijui nini, sasa tuone Tajiri yupi atakayewatetea nyie wanyonge. Yule raisi wa wanyonge hayupo, awamu hii matajili watakenua meno tu,
Hakuna kampuni inafanya malipo kwa mpesa sasa siku nyingine muwe na akili
Kwani kodi ndio imeanza kukusanywa mwaka huu?Lipa kodi kwa maendeleo..acha kiulialia mtoto wakiume..utaolewa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkumbushe kuwa huduma zitokanazo na kodi zinatumiwa na wote, mnyonge na tajiri, sote tulipe kodiLipa kodi ndugu...umaskini haukufanyi usilipe kodi
Ulitaka mlipe shingapi?.Kwani kodi ndio imeanza kukusanywa mwaka huu?
Shida ni kodi kuwa kubwa isiyo rafiki kwa mtanzania masikini
Acha kujikomba wewe, walipe kodi hao, uchumi gani ulinyanyuliwa kwa kumkamua bodaboda banaHao matajiri WAMEAJIRI WATANZANIA WENGI TU baada ya serikali kushindwa kuajiri wasomi....
Tunataka tufuate uchumi wa KIKOMUNISTI?!!!
#KaziIendelee
Kumbe huna hoja zaidi ya kuongeza idadi ya thread tu
What DEO SANGA huyu huyu aliyekuwa singida united hajui kusoma?Hivi mbunge mwenyewe n dizain ya DEO SANGA wanaweza kuikataa bajet kweli hata kusoma hajui vizuri
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
He heHalafu wamepitisha mabadiriko ya sheria kumruhusu waziri wa fedha aweze kusamehe kodi. Kwa hiyo matajiri wasamehewe kodi halafu sie wanyonge watunyonge kisawasawa.
Magu alikua anawaambia matajiri mkija hapa mlipe kodi na kama mnaona hampati faida mfungashe muondoke na tuliingia uchumi wa kati
matajiri hao ni kina nani? Wakati wafanyabiashara wanalalamika kuwa trend ya kodi haiko sawa, wengi walisema ni wakweopa kodi. sasa wamefunga biashara zao. Inabidi wote tuanze kuchangia book book. Tuache kulialiaUnaacha kukusanya MABILLIONI kwa matajiri unakuja kukusanya BUKU BUKU uswahilini kwa wanyonge🤔
Bilashaka itakuwa yutong ya ester safari iyo kaongeza nyingineBaada ya huo upigaji wa juzi hapa, kuna gari yake imeingia kimya kimya 0KM, 400M asifikiri hatufahamu!
Mkuu habari za siku nyingi"Mama anaupiga mwingi"- Mdau toka DM.