Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna kidi 56 tofauti tofauti.Na VAT iliyokuwa inakatwa kabla hawajaleta hii tozo isiyoeleweka ilikuwa na maana gani
Mliokuwa hamlipi kodi hata moja karibuni Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kidi 56 tofauti tofauti.Na VAT iliyokuwa inakatwa kabla hawajaleta hii tozo isiyoeleweka ilikuwa na maana gani
Watanzania mnapenda vya bure.Wakati wanafanya maamuzi wanapaswa kuangalia sehemu Kuna uafadhali kwamba mhusika hata pata maumivu sana.
Matajiri Wana uafadhali kidogo wa kulipa kuliko maskini.
Kumminya mtu wa chini kwa makodi mengi na makubwa Kwa wakati mmoja huko ni kutengeneza civil unrest.
Alafu bei ya mazao inazidi kushukaMamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Tulikula fungate baada ya kutoka kilioni sasa tumerudi normalYajayo yanasikitisha Sana, naona future ya Tanzania ikizidi kuwa Giza zaidi. Hakika tutalimia meno huko tuendako
Honey money is over my dear Sasa tumerudishwa kwenye msoto mkubwa na hatari sanaTulikula fungate baada ya kutoka kilioni sasa tumerudi normal
Embu tuiondoe ccm madarakani tuache kulalamika halafu ikifika siku ya uchaguzi tunaipigia ccm kura.Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
mama yupo Burundi huko anaendelea kuupiga mwingi.Ewe mama yetu mpendwa sana SSH, ulituletea furaha pasipo raha, miezi mitatu baadae furaha imegeuka karaha.
Ulipochaguliwa nchi nzima watu waliokua na masononeko kwa miaka 5 walianza kufurahi.
Miezi mitatu baadae Mwigulu anataka kukuingiza chaka maana furaha waliokua nayo Mwigulu katia upupu na sasa ni kilio nchi nzima.
1.Ongezeko bei ya Mafuta kunakopelekea bei ya bidhaa zote kupanda.
2.Tozo ktk mitandao.
Mama yetu tunajua wee u msikivu pitia huku utusaidie
Tunajua lakini tunataka ajue ni kwa namna gani jamii imelipokeajeTujifunze kuepuka kumpa mtu sifa kubwa kuliko uhalisia. Kila linatokea huyo mama analijua na lina baraka zake, Sasa tukikaa humu mitandaoni kuomba mbariki tatizo alete suluhisho ni sawa ni kujitoa ufahamu tu. La Mwigulu ndio la mama.
Mwingulu ni masalio ya mwendazake ilibidi aondolewa mapema na Mama, pia ana ambition ya kua Raisi mwingulu ni sumu kwa Mama.Ewe mama yetu mpendwa sana SSH, ulituletea furaha pasipo raha, miezi mitatu baadae furaha imegeuka karaha.
Ulipochaguliwa nchi nzima watu waliokua na masononeko kwa miaka 5 walianza kufurahi.
Miezi mitatu baadae Mwigulu anataka kukuingiza chaka maana furaha waliokua nayo Mwigulu katia upupu na sasa ni kilio nchi nzima.
1.Ongezeko bei ya Mafuta kunakopelekea bei ya bidhaa zote kupanda.
2.Tozo ktk mitandao.
Mama yetu tunajua wee u msikivu pitia huku utusaidie
kila mtoa maamuzi hujua athari ya maamuzi yake. Mpaka kuja na hizo tozo na kuruhusu mfumuko wa bei walishajua kuwa raia watalalamika.Tunajua lakini tunataka ajue ni kwa namna gani jamii imelipokeaje
Yanayafanyika yana baraka zake wewe nyumbu! Msitake kumkwepesha lawama ! Masalia ya mwendazake ndo nini?ye si ndo mtoa maamuzi wa mwisho!Mwingulu ni masalio ya mwendazake ilibidi aondolewa mapema na Mama, pia ana ambition ya kua Raisi mwingulu ni sumu kwa Mama.
Ewe mama yetu mpendwa sana SSH, ulituletea furaha pasipo raha, miezi mitatu baadae furaha imegeuka karaha.
Ulipochaguliwa nchi nzima watu waliokua na masononeko kwa miaka 5 walianza kufurahi.
Miezi mitatu baadae Mwigulu anataka kukuingiza chaka maana furaha waliokua nayo Mwigulu katia upupu na sasa ni kilio nchi nzima.
1.Ongezeko bei ya Mafuta kunakopelekea bei ya bidhaa zote kupanda.
2.Tozo ktk mitandao.
Mama yetu tunajua wee u msikivu pitia huku utusaidie
Ewe mama yetu mpendwa sana SSH, ulituletea furaha pasipo raha, miezi mitatu baadae furaha imegeuka karaha.
Ulipochaguliwa nchi nzima watu waliokua na masononeko kwa miaka 5 walianza kufurahi.
Miezi mitatu baadae Mwigulu anataka kukuingiza chaka maana furaha waliokua nayo Mwigulu katia upupu na sasa ni kilio nchi nzima.
1.Ongezeko bei ya Mafuta kunakopelekea bei ya bidhaa zote kupanda.
2.Tozo ktk mitandao.
Mama yetu tunajua wee u msikivu pitia huku utusaidie
Point.............Ukiona unamsemelea sana kiongozi wako kwa boss wake, halafu boss wake anakuangalia tuu na haongei neno Jiongeze