Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Mwigulu hafai alikuja na Kodi za majengo kukatwa kwenye mita za umeme ,Sasa amekuja kwenye miamala ,yaani hovyo kabisaMwigulu mhuni anamchezea mama Kama alivyokuwa anamchezea mwendazake kule kibiti, mwendazake alipostuka atachukua uwaziri ndio Sasa anavyomfanyia sarakasi mama lengo amchafue tu inatakiwa mama awatoe mwigulu na ndugulile na wengine.