Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Mwigulu mhuni anamchezea mama Kama alivyokuwa anamchezea mwendazake kule kibiti, mwendazake alipostuka atachukua uwaziri ndio Sasa anavyomfanyia sarakasi mama lengo amchafue tu inatakiwa mama awatoe mwigulu na ndugulile na wengine.
Mwigulu hafai alikuja na Kodi za majengo kukatwa kwenye mita za umeme ,Sasa amekuja kwenye miamala ,yaani hovyo kabisa
 
Uwaziri hasa wa fedha sio uwezo wa kuongoza nzcaala huwezi kuupima kwenye nafasi hiyo

Uwaziri wa fedha ni lazima uwe na uwezo wa kitaalamu na taaluma chenjefu kupata matokeo

Pale utaalamu ndio umekosekani, yaan within a week budget inayotarajiwa kutumika mwaka mzima imeshawakinai watu ajabu

Huo ni ukosefu w weredi kwenye nyanja husika
 
Mwigulu Nchemba ni chama tu kinambeba.... But ukimwangalia hamna kitu kabisa. Yaani ni bure kabisa.

Nafasi zote alizowahi shika kiuongoz ukimwangalia alichofanya hamna. Anachoweza sana ni kujipendekeza tu.
Mtu anayevaa mabendera hawezi kuwa kiongozi mzuri, na hawezi kuwa na akili timamu
 
kopo tupu lile. anajua kuvaa skafu tu na kubwabwaja. anajikuta msooooomi kumbe zero tu.
 
Umeamua tu KUMSHAMBULIA mzalendo Dr.Mwigulu.....

Kwani HATUWEZI kutofautiana FIKRA/NJIA za kuchukua/kufikia malengo na bado tukabaki TUNA UWEZO WA KIUONGOZI...TU WAZALENDO?!!!

Dr.Mwigulu aliidhinisha NJIA HIZO alizotuambia kupitia BUNGE LETU....haina maana kuwa "yu mpogo" kiuongozi......

Maneno ya KUJIKAZA MKANDA hayakuanzia kwake....na wala hayakusemwa tu na baba wa taifa kipindi kile cha kupambana na IDD AMIN.....
 
Tafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ), tafadhali jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize maswali yangu kuntu kuhusu candidate wako Mwigulu Nchemba ( Waziri )

Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na mauzauza yake mengi ya kitaaluma ambayo kayahamishia Wizarani ( Serikalini ) na sasa wananchi tunataabika nae tuu kimaamuzi.
 
Back
Top Bottom