Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
std 7 ni bora zaidi, umeshamsikiliza Musukuma!PHD za wasomi wetu ni upuuzi mtupu. Hawana tofauti na STD 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
std 7 ni bora zaidi, umeshamsikiliza Musukuma!PHD za wasomi wetu ni upuuzi mtupu. Hawana tofauti na STD 7
Hajui tukienda Burundi tutajifunza nini, na tukirudi tutarudi na nini! Wale 'waliokimbia' kule kusini wako wapi?Tatizo kubwa ni maneno yake dhidi ya raia wenzake kwamba wahamie Burundi.
Katika jamii ya wastaarabu, mashinikizo ya kujiuzulu yasingekoma hadi aachie ngazi.
Na kibaya zaidi anawaambia wananchi kuwa lazima walipe hiyo kodi kwa kuwa imeamriwa na Bunge la CCM na kwamba asiyeweza kulipa eti akahamie Burundi. Sijawahi kuona waziri wa ovyo hapa duniani kama Mwigulu Nchemba . Na mama naye amezungukwa na washauri wachumiatumbo wakubwa vinginevyo huyu jamaa hakutakiwa kuwa kwenye baraza la mawaziri. Ana nini kipya hasa mbona kila wizara anayopelekwa anafeli? Kama alishindwa kuongoza wizara ya mambo ya ndani hii ya fedha ndiyo ataiweza? Ebo! Tuacha masikhara jamani.Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Kwahiyo unataka mteule a resign au mamlaka ya uteuzi ndiyo ijitathmin❓😭Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Nime "dislike" post yako kwakuwa unampigia debe Kimei ambaye hajawahi kuonesha performance yoyote ya kiuchumiHana tofauti na kingwangala vyeti vimeshindwa kuwasaidia.Heri apewe kishimba angepewa wizara hio.
Wanaachwa watu smart kama kina Dr Kimei,huyu msingida alaaniwe kabisa
CRDB bank ilikuwa imekufaNime "dislike" post yako kwakuwa unampigia debe Kimei ambaye hajawahi kuonesha performance yoyote ya kiuchumi
Economy na economic s siyo bankingCRDB bank ilikuwa imekufa
Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Ni muhimu tujenge taifa la kistaarabu ambapo viongozi wataheshimu raia na pia wananchi waweze kuwawajibisha inapobidi.Hajui tukienda Burundi tutajifunza nini, na tukirudi tutarudi na nini! Wale 'waliokimbia' kule kusini wako wapi?
Bank ipo ndani ya economicEconomy na economic s siyo banking
Una chuki na utendaji wake au kabila lakeNime "dislike" post yako kwakuwa unampigia debe Kimei ambaye hajawahi kuonesha performance yoyote ya kiuchumi
Nimekufafanulia reasons za ku-dislike, hayo mengine ni yako, endelea kumpigia debe kwa hizo sababu zakoUna chuki na utendaji wake au kabila lake
Oh he will go, just a matter of time...Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Afadhali hilo umelijuaBank ipo ndani ya economic
Sawa mkuuPamoja tunapitia maisha mapya yenye changamoto Ila sitakuja kumkumbuka beana yule maana mema yamezidiwa na mabaya.
Mwigulu aachie madarakaaaa
ModeratorWe kwenda huko ku.ma ww kuna mtu alikuwa wa hovyo kama huyo shujaa wako aliyekuwa anakopa mapesa anadanganya fedha za ndani na ndiye chanzo cha haya maujinga ujinga ya sasa kaacha deni kubwa sn mpk kukopesheka ni shida
Tena bora hata huyu tunalipa wote lakin yule shujaa alikuwa anaibia na kutapeli watu pesa zao hakuna cha maana amefanya zaid ya matumiz makubwa kwny ma miundombinu kuliko uwezo wa budget ya taifa aende kabisa asirudi asilani. [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji135][emoji135][emoji135]