Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.

Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.

Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .

Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.

Video iko YouTube
 
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwa kupanga kuyasema kumuhusu Mwigulu .

Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Mwigulu ni Mjinga, hata waliompa cheo wamemdharau sana
 
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha
Mwigulu na wengi ndani ya CCM hawana mawazo mengine zaidi ya kuwa madarakani milele.
Unaposema wachunge kauli hilo kwao haliingii akilini kabisa.

Wewe, mimi na wengine nje ya utawala wa CCM ndio wanapashwa kuchunga kauli. Siyo waliojitwalia madaraka kwa nguvu

Watu usiokuwa na mamlaka ya kuwawajibisha kwa njia yoyote utawaambiaje wachunge kauli?.
 
Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.

Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.

Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .

Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Please niwekee clip hapa
 
Kwani Lema kafanyaje?
 
Gentleman,
kwamba uropkaji nonsense wa jambazi na mnyang'anyi wa malori alieokoka unaweza kumbabaisha mtendaji mkuu wa serikali sikivu ya CCM, surely?🤣

acheni mizaha na vichekesho useless kama hivi plz 🐒
 
Mkuu

Meza Kwanza Dawa Zako Ndiyo Uishike Keyboard
 
Back
Top Bottom