Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Nasikia CCM washakupanua sana hata ukiongea unaacha kinyesiKasemaje huyo mwizi wa magari?
Nasikia CCM washakupanua sana hata ukiongea unaacha kinyesiKasemaje huyo mwizi wa magari?
Apostle kuna muujiza huku.Huko kwenye wrong side of the history. Kama bado unafikilia CCM itaendelea kutawala
Ningepata hiyo clip nione jinsi mwigulu alivyoshukiwa na Lema ningeburudika siku nzima leo. Safi sana kamanda Lema na CDM kwa ujumla tunawategemea saaana mtusaidie dhidi ya udhalimu uliopo nchini.Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Video iko YouTube. Nimejaribu kuileta hapa naona nakwama.Ningepata hiyo clip nione jinsi mwigulu alivyoshukiwa na Lema ningeburudika siku nzima leo. Safi sana kamanda Lema na CDM kwa ujumla tunawategemea saaana mtusaidie dhidi ya udhalimu uliopo nchini.
let me confirm to you without fear of contradiction that,Mkuu
Meza Kwanza Dawa Zako Ndiyo Uishike Keyboard
Nenda YouTube google chadema dodoma mkutano....Kasemaje leo
Ningepata hiyo clip nione jinsi mwigulu alivyoshukiwa na Lema ningeburudika siku nzima leo. Safi sana kamanda Lema na CDM kwa ujumla tunawategemea saaana mtusaidie dhidi ya udhalimu uliopo nchini.
Sasa kuna chama gani cha kuweza kuongoza tanzania zaidi ya ccm?Huko kwenye wrong side of the history. Kama bado unafikilia CCM itaendelea kutawala
Hata KANU hapo Kenya ilivyokuwa ikiwaburuza wakenya, makada wa chama hicho walikuwa wanaongea ukhanithi wa hivi hivi. Leo hii KANU iko kaburini, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wa Tanzania.Sasa kuna chama gani cha kuweza kuongoza tanzania zaidi ya ccm?
Weka videoKwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Video iko YouTube
Hao waliompa Cheo / Huyo aliyempa Cheo nao / nae wana / ana Akili?Mwigulu ni Mjinga, hata waliompa cheo wamemdharau sana
Nilifikiri a.mekuwa kumbe anaendeleza zile siasa za kuchana bajeti za wapinzani?Mwigulu ni Mjinga, hata waliompa cheo wamemdharau sana
Tabia ni Kama ngozi ya mwiliNilifikiri a.mekuwa kumbe anaendeleza zile siasa za kuchana bajeti za wapinzani?
Aya poa rafiki shukraniNenda YouTube google chadema dodoma mkutano....
Ipo humu nimeiwekaAya poa rafiki shukrani
Huyu mwiguu mbona chawa na mwehu wa kawaida.Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Video iko YouTube
HahaMkuu
Meza Kwanza Dawa Zako Ndiyo Uishike Keyboard
Trump si alisitisha dawa?Mkuu
Meza Kwanza Dawa Zako Ndiyo Uishike Keyboard
Kasema uache kufirwa na mimi.Kasemaje huyo mwizi wa magari?