Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Bora mwizi wa magari kuliko muuaji.Kasemaje huyo mwizi wa magari?
Mwigulu ni Mjinga, hata waliompa cheo wamemdharau sanaKwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwa kupanga kuyasema kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
SahihiWalio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda.
Huko kwenye wrong side of the history. Kama bado unafikilia CCM itaendelea kutawalaMwgulu ndo rahis baada ya samiya.
Mbona wote(yeye na maliompa cheo haramu alichonacho) wanalingana hivyo viwango vya ujinga na upumbavu.Mwigulu ni Mjinga, hata waliompa cheo wamemdharau sana
Mwigulu na wengi ndani ya CCM hawana mawazo mengine zaidi ya kuwa madarakani milele.Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha
shenzi, huna adabuKasemaje huyo mwizi wa magari?
Please niwekee clip hapaKwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Kwani Lema kafanyaje?Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
Gentleman,Kwa waliomsikia Godbless Lema akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Dodoma leo hii, bila shaka watakubaliana na mimi kwa jinsi Lema alivyomshukia Mwigulu kwa kauli yake kuhusu watu kutekwa kuwa ni michezo.
Binafsi, siamini kama Mwigulu anaweza kusikiliza hiyo clip mpaka mwisho na akabaki sawa kichwani.
Ni wazi metamshi ya Mwigulu yameumiza wengi na Lema kaishiwa uvumilivu kaamua kusema ambayo bila shaka hakuwahi kupanga kuyasema hadharani kumuhusu Mwigulu .
Walio madarakani wanapaswa sana kuchunga kauli zao kwani watu wana hasira na machungu katika nafsi zao hiyo waepuke kutonesha vidonda. Vinginenyo, mageraza na mahabusi zitajaa wapinzani na wanaharakati na hazitatosha.
MkuuGentleman,
kwamba uropkaji nonsense wa jambazi na mnyang'anyi wa malori alieokoka unaweza kumbabaisha mtendaji mkuu wa serikali sikivu ya CCM, surely?🤣
acheni mizaha na vichekesho useless kama hivi plz 🐒