Mwigulu kama amemsikia Lema huko Dodoma leo, sijui atakuwa kwenye hali gani

Ningepata hiyo clip nione jinsi mwigulu alivyoshukiwa na Lema ningeburudika siku nzima leo. Safi sana kamanda Lema na CDM kwa ujumla tunawategemea saaana mtusaidie dhidi ya udhalimu uliopo nchini.
 
Ningepata hiyo clip nione jinsi mwigulu alivyoshukiwa na Lema ningeburudika siku nzima leo. Safi sana kamanda Lema na CDM kwa ujumla tunawategemea saaana mtusaidie dhidi ya udhalimu uliopo nchini.
Video iko YouTube. Nimejaribu kuileta hapa naona nakwama.
 
Mkuu

Meza Kwanza Dawa Zako Ndiyo Uishike Keyboard
let me confirm to you without fear of contradiction that,

hakuna anaeweza kubabaika na porojo au uropokaji wa huyo jambazi gentleman 🐒
 
Weka video
 
Huyu mwiguu mbona chawa na mwehu wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…