Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!


Some of these folks are just prisoners of the moment.

Subiri na dogo wa Makamba naye atangaze nia yake uone atakavyomwagiwa misifa.

Utasikia haya haya na hata zaidi kuwa yeye ndo anafaa kuwa rais. Utaambiwa jamaa ni kichwa sana, jamaa ana maono ya kimaendeleo, na upuuzi puuzi mwingine kama huo.

Watanzania ni watu wa kuvutiwa na vitu vidogo vidogo mno, wepesi wa kusahau, na warahisi wa kuamini mazingaombwe.
 
Wewe humu ni kama malaya kila mume unarukia.hujulikani?huyu wa ngapi kukukuna?

Amesema ukweli ccm ni kisima cha interllectuals.Mafisadi wote watafungwa hii ndio ccm.Ata chenge akigombea mafisada ata wafunga kwa mwanvulia wa ccm.ccm oyeee werw wera ccm
 
Nimeitumia wikendi yangu vizuri sana, kwanza nilimsikiliza Mh Lowasa jana. Leo nimemsoma Mh Wasiara kupitia jamii forum na baadaye kumsikiliza Mh Mwigulu. Bila Upendeleo wowote, Mh Mwigulu kaanza vizuri. Ameonyesha uwezo mkubwa wa ufahamu wa mambo, ambayo kajifunza kwa kipindi kifupi ali
choshika madaraka. Kama ni Marks, ningempa A+. Ameelezea mambo mengi Kwa mtiririko sahihi. Hongera sana kwa hilo.
 
Tuache ushabiki wa vyama au nini Mwigulu Nchemba kaongea vitu vya maana sana leo. Kwa watangaza nia hawa waliojitokeza mpaka sasa yuko mbele. Tusubiri mchakato utakavyo kua huko Lumumba
 

Mkuu naomba ufunguke zaidi ningependa kufahamu zaidi kuhusu huyu jamaa kama kweli ni msafi.
Natanguliza shukrani
 
Mkuu naomba ufunguke zaidi ningependa kufahamu zaidi kuhusu huyu jamaa kama kweli ni msafi.
Natanguliza shukrani


Samahani sina nafasi ya kukuonyesha nani msafi na nani mchafu isipokuwa unaweza soma michango ya watu na pia kufwatilia habari zao za kila siku ili ufikie conclusion ya kujua ni msafi au mchafu!!!
 
Hotuba yake nimeipenda sana... Dongo LA rushwa
nisheeeda
 

Naomba niseme wazi Pasco wewe ni extra ordinary human being. I swear I don't know why people are not seeing what you have seen. Sijamsikiliza huyu bwana Lakini nilipokua nafuatilia sakata la escrow bungeni niliona ulichokiandika leo. Nakukubali utendaji wa Lowasa but Mwigulu ni number nyingine. Sijui kwanini intellectuals hutujaona hili jambo
 
Last edited by a moderator:


Mkuu yote hii ni kwasababu ya akili nyepesi!!!

Nilikutana na mmoja nikamuuliza kitu gani kinakuvutia kwa JMakamba? akaniambia ana vision Sana nikamuuliza umejuaje Kama ana vision? akaniambia amesikiliza Sera zake nikamuuliza kivipi unaweza Ku prove anauwezo Wa kutekeleza Sera? akatoa macho!!!

Watanzania ni wateja wazuri Sana Wa TALK SHOPS!!!!
 

Kwa mara ya mwanzo kabisa ktk historia yangu ya maisha ya jf nakubaliana na wewe
kwa sababu mimi nilichoamua kufanya this time ni kutofuata mkumbo Bali kuwasikiliza watangaza nia wote na kuwapima kuanzia body language wakati wanazungumza mpaka Yale maneno yanayotoka vinywani mwao,nilimtazama jana lowassa kwenye hayo maeneo niliyoyataja,was big disapointment to me,sababu kwa mara nyingine tena alilikwepa kabisa hata kulitamka neno ufisadi na mafisadi ambalo limekua an issue kwenye utawala huu unaomaliza muda wake,watz wanakerwa na ufisadi ambao umetamalaki in almost kila wizara,kutoonesha kukerwa na ufisadi ni weakness.asbh niliamka mapema kumsikiliza wassira,was much better,ameonesha anajua watz wanachotaka kukisikia,nikasema this is the best candidate of this week,but baada ya kumtizama na kumsikiliza mwigulu,napata kigugumizi nani nimpe alama za juu zaidi Kati yao wakati nawasubiri wa kesho nao niwasikilize.All I can say so far so good.Lemme wait for tommorow,by the way I can't wait to see January makamba akitangaza nia,niliwahi kumuona mahali,he knows how to talk.Naomba mh.kinana aruhusu debate aondoe Ile marufuku ya mzee makamba ili tuenjoy na kuwajua hawa wakubwa mapungufu yao
 
Pasco,

..sidhani kama huyu mtu yuko genuine.

..ukimwangalia kwenye sura na makorokoro anayovaa kama skafu na kombat za jeshi unaweza kufikiria ana uchungu na nchi.

..lakini ukiangalia uzito wa nafasi alizonazo na alizopata kushika, na kama alipata kutekeleza japo robo ya hotuba yake ya leo unapata picha tofauti kabisa.

..Mwigulu Nchema amepata kuwa Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM, Naibu Katibu Mkuu, na Naibu Waziri wa Fedha. sasa katika nafasi zote hizo hatukusikia walau akijaribu kutekeleza hayo anayodai atayafanya akiwa Raisi.

..Hoja alizozitoa leo ni hoja ambazo zimekuwa zikipigiwa kelele na wapinzani kwa muda mrefu. Sote tunakumbuka jinsi Mwigulu alivyokuwa akiwaponda wabunge wa upinzani, na kufikia mpaka kudai mapendekezo yaliyotolewa na kambi ya upinzani ktk bajeti mbadala yanapaswa kutupwa jalalani.

..Leo hii Mwigulu anabeba ajenda ileile aliyodai inafaa zaidi kutupwa kwenye jalala. How genuine is this person?

..Lakini juu ya hayo, ni siasa za kitoto-toto na kihuni-huni ambazo Mwigulu Nchemba amejitambulisha nazo. Huyu mwenzi wake ktk siasa hizo ni Livingstone Lusinde "kibajaj". Sasa are we ready kumpa Uraisi mtu ambaye rekodi ya matendo yake ktk majukwaa ya kisiasa na michango yake bungeni inaonyesha kwamba he is immatured?

cc Victoire, Kimweri, Nguruvi3, Mchambuzi, Mag3
 
Last edited by a moderator:
Dah hongera Mwigulu acha niweke undondocha au kuwa msukule wa wanasiasa au vyama. Umejitahidi hadi umenishawishi kitu ingawa sikukufikiri kabisa mwanzoni. Big up bro.
 
Wewe humu ni kama malaya kila mume unarukia.hujulikani?huyu wa ngapi kukukuna?

We ---- badilika kwa kuangalia hoja,mtoa hoja anajaribu kusema kuwa ukisikiliza watu watatu utaona tofaut,so anahaki ya kubadilika coz kaona kipya hayupo kama wewe zombi unayekomaa na upande mmoja
 
mwigulu anaharibu padogo tu, siasa za maji taka, el nilikuwa namwamini sana ila jana kaniangusha kwakweli, maneno aliyoongea mwigulu ndio angeongea lowasa nazani saivi angekuwa ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…