Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Tuache ushabiki wa vyama au nini Mwigulu Nchemba kaongea vitu vya maana sana leo. Kwa watangaza nia hawa waliojitokeza mpaka sasa yuko mbele. Tusubiri mchakato utakavyo kua huko Lumumba
Kuongea ndio kutekeleza....hawa maccm yanajua watanzania ni wajinga na ukiwaahidi hata mbingu watakupa kura....ujinga huu usipotutoka nchi hii itapotea kabisa.
Mwigulu si mtu wa kuaminiwa, tusijekulaumiana lakini, wanaoipenda hii nchi tafadhali wamwogope huyu Savimbi kama ukoma.
 
Pasco Mwigulu ameongea lipi la maana! Zaidi ya kuongea kama mpinzani? Mambo aliyo yaongea angeyasema mgombea wa UKAWA ningemuelewa. Amejisahau kama yuko ndani ya baraza la mawaziri? Yaani bado sijaona
 
No folks mwigulu is gud,nilimfahamu hivyo wakati fulani wa bunge la bajeti kabla hajawa waziri alipoichambua bajeti ya upinzani hoja kwa hoja,yupo vizuri,na uzalendo wake kwa taifa hauna shaka,pia anaonesha kwa vitendo ni mtu wa maamuzi,Hilo ukifuatilia utendaji wake toka aingie wizara ya fedha u can see it,nchi hii inaweza kukosa service ya watu wazuri kwa sababu tu ya siasa za upinzani wa kupinga pinga kila kitu cha upande wa pili,tuache jama,kama mtu anadeserve tuseme tu,mfano utaona mtu wa ccm kwa sababu ya upinzani tu anaikataa huduma ya tundu lissu bungeni kwenye masuala ya kisheria anaikubali ya chenge!
 
Kuongea ndio kutekeleza....hawa maccm yanajua watanzania ni wajinga na ukiwaahidi hata mbingu watakupa kura....ujinga huu usipotutoka nchi hii itapotea kabisa.
Mwigulu si mtu wa kuaminiwa, tusijekulaumiana lakini, wanaoipenda hii nchi tafadhali wamwogope huyu Savimbi kama ukoma.
Mjinga peke yako bavicha akili zenu za ajabu sana mtu hata fanye jema gani nyie matusi tu.
 
Wanabodi,

Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba is the most bonafide genuine mgombea so far, ukimuangalia huku unamsikiliza, utaiona his genuinity kutoka moyoni mwake ku practice what he preach na kiukweli nadhani kwa kati ya hawa watangaza nia so far, naamini Mwigulu can make the best president this nation has ever had tangu mwalimu Nyerere!.

Jee wewe mwenzangu ulibahatika kumsikia, unamuonaje?!.

NB Ku make the best president ni jambo moja, mgombea anayependwa zaidi so far ni Edward Lowassa, na mgombea the most experieced so fat ni Stephen Wasira, nikichukulia mchakato wa 2005 wakati JK alipochaguliwa, kama reference, assuming hawa watatu ndio wameingia tatu bora, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakipewa choice ya kuchagua between "the most loved", "the most experienced" and the "the best president", watachagua mtu anayependwa na watu, mtu atakayechagulika kwa urais na kuwatupa the rest, na hivi ndivyo JK alivyochaguliwa ile 2005 kwa sababu kwenye the finalist watatu, kulikuwa na "the most experienced" Dr. Salim, "The best Brain", Prof. Mwandosya, na "the good looking" Jakaya Kikwete, akapitishwa kwa hoja kuwa ndiye anayependwa na watu, as if mapenzi ya watu ndio uongozi wa nchi!.

JF has a role to play kuwaelimisha wananchi wetu waweze kufanya informed decisions kwenye choice of president, ili ifike mahali chaguo la mgombea wa CCM sio lazima ndio automatikally awe rais, wakituletea ule ujinga ujinga kama wa 2005, tunapiga tuu chini only if huko kungine kuna the better alternative!.

Ushauri wangu wa kwanza kwa wana JF, Mwingulu Nchemba is the man to keep watching seriously!.

NB. Kwa walionidhania mimi niko kambi fulani, uzi huu ni uthibitisho kuwa Pasco wa jf, hana chama, hana kambi, hana mtu, ila kuna watu anawakubali akiwemo yule 'jamaa yetu', hivyo sitarajii kuulizwa kama nimehama kambi kwa sababu sijawahi kuwepo kambi yoyote!.

Kiukweli mimi Pasco wa jf, nimeguswa na Mwigulu Nchemba!.

Vipi wewe?.

Pasco


MWINGULU ALIWAHI KUJA NA HOJA YA WALIOIBA ESCROW WALIPE KODI Pasco WASHALIPA?

MWINGULU KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA NIKIWA NAMAANISHA, KIONGOZI ALIYEPEWA DHAMANA NA WATANZANIA KUZILINDA FEDHA ZA WATANZANIA JE AMEWAELEZA WAPI PESA ZA STANBIC KAMA SIO JE UNADHANI HUYU ANATOFAUTI GANI NA WALE WALIOIFANYA IKULU KUWA GETTO?

MWINGU KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA WALIKUJA NA MAJIBU MEPESI KUUSU KUPOROMOKA KWA SHILING, KWA KIGEZO KUWA DOLLAR IMEIMARIKA SWALI DOLA ILIIMARIKA TANZANIA TU

MWINGULU KAMA NAIBU WAZIRI WA FEDHA INAKUWAJE ANATUMIA MUDA MWINGI KULALALAMIKA KAMA VILE SIO SEHEMU YA SERIKALI

Pasco RAFIKI YANGU UNAYEKUNWA NA KILA MTU JANA LOWASA LEO ALIKUKUNA ,LEO UMEKUNWA NA MWINGU NA KESHO UTAKUNWA NA MWANDOSYA PLEASE NAOMBA UNIJIBU
 
Mjinga peke yako bavicha akili zenu za ajabu sana mtu hata fanye jema gani nyie matusi tu.
Jema gani amewahi kufanya huyu muuwaji....wewe na wezi wenzio endeleeni kumshabikia...anakaa kwenye television kutudanganya....alivyokuwa anaponda wapinzani halafu leo atuambie haya ndio maono yake...aendelee kuwadanganya wapumbavu kama wewe na Pasco
 
Pasco

with all due respect, kindly keep on posting your remarks concerning CCM aspirants. I suppose your opinions will definitely shape this debate. The remaining question is who amongst CCM aspirant will benefit from your fairly unstable remarks.

kind regards.
 
Kuna watu wanapenda kuishi kwa kufata upepo vigeugeu leo kwa El kesho kwa lameck Kesho kutwa utawaona kwa em be kazi kweli kweli
Ila yote ni njaaaa.

Vote for ukawa tu
 
Jema gani amewahi kufanya huyu muuwaji....wewe na wezi wenzio endeleeni kumshabikia...anakaa kwenye television kutudanganya....alivyokuwa anaponda wapinzani halafu leo atuambie haya ndio maono yake...aendelee kuwadanganya wapumbavu kama wewe na Pasco

Safi sana wape makavu hao
 
Pasco umesema sawa kati ya watangaza nia wa jana na leo Mwigullu kamtupa mbali sana lowassa. Upinzani sidhani kama ni wakati wa kuponda ni wakati wa kusikiliza na kuchambua atakapotambulishwa kutoka upinzani pia tutamsikia na watanzania watapima. Nilichokipenda kwa mwigulu kaongea lugha rahc inayoelewka na mazingira yanayoeleweka kwa watu halisi. Waishio Tanzania. Ni wajibu wao ama kumkubali au kimkataa. Kwangu binafsi mpaka sasa tukiletewa hao wawili Mwigulu ni rais mwenye maono halisi kwa watanzania halisi sio wa kufikirika. Eti foleni dar miezi 12 mwisho teh teh. KEEP up mwigulu i thnk u can.
 
Pasco WEWE NI MWANDISHI UNAYETAFUTA FEVOUR KWA KIONGOZI ATAKAYEINGIA
 
Last edited by a moderator:
Pasco, hapo nimekupata. You are very genuine indeed! Swali moja kwako, Je, kumpenda kwako Lameck Madelu Mkumbo, siyo kwa sababu you are alumni of the same school?
 
He'll make a very good future president, though, currently, he is still in dire need of five or ten years more experience as an MP!
NB: KUTEMA CHECHE SIO KUTENDA CHECHE!
 
Mwenye hotuba ya Mwigulu aitupie basi tuone alichoongea maana wengine hatujamsikiliza ili tuweze chambua
 
Nchemba kaongea uzuri ahsante pasco kwa uzi huu umejitahidi kuwachambua.
 
Hizi Hotuba tamu masikioni mwetu tumezizoea, hata Kiwete kwenye hotuba yake ya kwanza Bungeni alitoa hotuba kali yenye ubora, hakuna mtu anaweza kubadili hii nchi kupitia CCM, we need changes, UKAWA ndio mpango
 
mwigulu yupo vizuri kuliko jamaa yetu, jamaa yetu jana alizingua sana, alivyoita wahariri wa vyombo vya habari kila swali akiulizwa ntalijibu arusha, watu tukakaa kusubiri arusha matokeo yake tukaona helikopta na kingunge tu

Ni mapema mno kwa "jamaa yetu" kuanza kuyafunua ya Richmond. Who knows? Huenda akina JK walimwomba aendelee kuuchuna tu maana kashfa ya Richmond inakigusa chama na Ikulu na ndio maana jamaa ameendelea kuwa na ujasiri wa kuutamani uRais ilhali anajua "amechafuka"

CC ya CCM haitompitisha Nchemba. Wanaweza kutumia kigezo cha umri kumpiga nyundo. It will be very interesting kuona jinsi watakavyodeal na Lowassa.
 
Tatizo sio mtu, tatizo ni SYSTEM, hata aongee vzur vip, jua anaenda kutelekeleza ilani ya CCM na SIO ilani ya Mwigulu Nchemba!
...ilani hiyo ndo imetufikisha hapa miaka 54 baada ya uhuru!
...In short hakuna jipya ndani ya CCM, kimechoka tu, sioni plan zake, sioni km kitabadilisha hii system coz kila siku ni yaleyale hakuna hata afadhali.

Me nafikiri we have to change the system b'se ccm system has failed for these 54 years.
 
Back
Top Bottom