ukisikia uchizi ndo huu... kumponda M/kiti wake, kuponda sera za chama chake, kuwananga viongozi wake ndo kilichokuvutia au Umasikini wa familia yake? Dunia ya leo ni kufurahia Umasikini kweli? Pasco pls ... wananchi bado wanakumbuka ile movie ya Rwakatare, wanakumbuka mauaji ya Kada wa CHADEMA kule Igunga, Usa river, wanakumbuka makambi ya Mwigulu kila kona, wanakumbuka sana mbinu na mikakati yake na wassira, zoka, zzk ya kuihusisha CHADEMA na Ugaidi... Huyu Opportunist Populist hafai hata kufikiriwa kuwa Waziri; ameshindwa kubuni mbinu za ziada za ukusanyaji kodi, ametoza kodi kwenye fedha za wizi wa ESCROW... Huyu huyu Nchemba aliponda sana hotuba ya kambi ya Upinzani kwa madaha leo hii anazitumia kuomba ridhaa ya kuongoza nchi ... Savimbi ni Savimbi tu!Hawezi kugeuka kuwa Mao...