Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Hey Pasco,

Can you remind us his track record? What has he done for this country (I said country and not CCM) that has helped us improve our lives? In other words, the last election CCM manifesto was "Better life for all." Can you tell us only one element in that manifesto (i.e higher education, health care, educators' pay, e.t.c ) that he has fought for in the last 5 years?
 
Nakubaliana kabisa na kauli kuwa hana uzoefu, mapungufu yote aliyoyataja ni ya mfumo was serikali name chama chake. Hui no kwa sababu hajawahi kuwa kwenye bureaucracy ya mfumo husika yaani ndani ya baraza la mawaziri. Laiti angekuwa huko na akadiriki kuyasema hayo hadharani,wangekwisha mtupia virago. Tutamhukumu kwa ushiriki wake ktk katiba mpya
 
tatizo ndani ya ccm hayo mambo ya ukawa hawawezi kuyakubali kamwe. mwigulu kazungumza mambo ya ukawa tupu.
 
Pasco Sio wewe tu hadi sasa kati ya watangaza nia mwigulu yuko juu ngoja tuendelee kuona tatizo mfumo Wa ccm unaharibu viongozi wazuri ambao huwa tunawaamini ndio hapo sasa ninapoichukia ccm na yeyote aliye ndani ya ccm. Nimeweka ushabiki pembeni
 
Hotuba nzuri haina maana kuwa atayaishi ayasemayo. Mbona 2005 ilikuwa Hotuba nzuri bungeni lakini mambo tofauti?
 
Wanabodi,

Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba is the most bonafide genuine mgombea so far, ukimuangalia huku unamsikiliza, utaiona his genuinity kutoka moyoni mwake ku practice what he preach na kiukweli nadhani kwa kati ya hawa watangaza nia so far, naamini Mwigulu can make the best president this nation has ever had tangu mwalimu Nyerere!.

Jee wewe mwenzangu ulibahatika kumsikia, unamuonaje?!.

NB Ku make the best president ni jambo moja, mgombea anayependwa zaidi so far ni Edward Lowassa, na mgombea the most experieced so fat ni Stephen Wasira, nikichukulia mchakato wa 2005 wakati JK alipochaguliwa, kama reference, assuming hawa watatu ndio wameingia tatu bora, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakipewa choice ya kuchagua between "the most loved", "the most experienced" and the "the best president", watachagua mtu anayependwa na watu, mtu atakayechagulika kwa urais na kuwatupa the rest, na hivi ndivyo JK alivyochaguliwa ile 2005 kwa sababu kwenye the finalist watatu, kulikuwa na "the most experienced" Dr. Salim, "The best Brain", Prof. Mwandosya, na "the good looking" Jakaya Kikwete, akapitishwa kwa hoja kuwa ndiye anayependwa na watu, as if mapenzi ya watu ndio uongozi wa nchi!.

JF has a role to play kuwaelimisha wananchi wetu waweze kufanya informed decisions kwenye choice of president, ili ifike mahali chaguo la mgombea wa CCM sio lazima ndio automatikally awe rais, wakituletea ule ujinga ujinga kama wa 2005, tunapiga tuu chini only if huko kungine kuna the better alternative!.

Ushauri wangu wa kwanza kwa wana JF, Mwingulu Nchemba is the man to keep watching seriously!.

NB. Kwa walionidhania mimi niko kambi fulani, uzi huu ni uthibitisho kuwa Pasco wa jf, hana chama, hana kambi, hana mtu, ila kuna watu anawakubali akiwemo yule 'jamaa yetu', hivyo sitarajii kuulizwa kama nimehama kambi kwa sababu sijawahi kuwepo kambi yoyote!.

Kiukweli mimi Pasco wa jf, nimeguswa na Mwigulu Nchemba!.

Vipi wewe?.

Pasco

Kwanza nitangulie kusema nakubaliana kabisa na uchambuzi wako. Mwigulu anachosema ndicho anachokiamini na akiwa na mamlaka atatekeleza kwa vitendo.

Shida niliyoiona katika hutuba yake ya kutangaza nia Jana amekwenda ndani sana ya baadhi ya vitu kama vile ameshateuliwa kuwa mgombea Jambo ambalo linaweza kumjengea chuki ndani ya chama na kupelekea kutoteuliwa.

But the Boy is serious and he has the right vision for this country.
 
Msolopagaz hata mimi jana nilifurahia utangazaji nia wake but hilo la kwenda ndani sana nililiona kama ni tatizo hata kiusalama but all and all mpaka muda huu nimemkubali
 
Msolopagaz hata mimi jana nilifurahia utangazaji nia wake but hilo la kwenda ndani sana nililiona kama ni tatizo hata kiusalama but all and all mpaka muda huu nimemkubali

ni kweli hapo kinachomwangusha ni chama chake.
 



Tuweke ushabiki pembeni, kati ya watangaza nia watatu kati ya jana na leo, Mwigulu Lameck Nchemba is the most bonafide genuine mgombea so far,
Kiukweli mimi Pasco wa jf, nimeguswa na Mwigulu Nchemba!.

Vipi wewe?.

Pasco
Pasco,
Salaam, Kwa kweli Mimi binafsi nakubaliana na mawazo yako, so far ninaamini katika CCM ya sasa Kiongozi wa kweli ambaye ana qualities zote za kuleta mabadiliko katika nchi hii ni Mwigulu.
Mgombea anaye nunua watu amechoka, anautaka urais tu kwa ajili yake na si nchi, Huyu kijana anadhamira ya kweli kuleta mabadiliko.
 
Pasco Mimi sio tu nimemkubali sana mwigulu isipokuwa niimekukubali wewe Kwa upeo wako wa kuona na kutafakari issues bila upendeleo.If all Tanzanians tukiwa na hisia na uwezo wa kudadavua mambo Kwa kuangalia hoja bila kujali chama Kama Pasco I'm sure October 2015 we will be having the great leader. Remember "GOOD LEADER MANAGE PEOPLE AND DEVELOP SYSTEM WHILE GREAT LEADER DEVELOP PEOPLE AND MANAGE SYSTEM" Dr.Myles Munroe to me the guy is "The Great Leader"
 
Kuongea ni kipaji, kuongoza ni swala lingine, hamna kiongozi pale

Na unapokuwa mwanasiasa na hujui kuongea unakuwa umepotea. Watu wanachanganya siasa na uongozi, na wanasiasa Mara nyingi hawako serious maana kiasi kikubwa huwa hamaanishi wanachokiongea
 
Kama kipimo chetu cha mgombea bora ni ule tu uwezo wake wa kutueleza mambo ya wazi kabisa yaliyotakiwa kutendwa miongo kadhaa iliyopita, basi tumekuwa watu desperate sana. Yaani tumezoezwa uozo katika uongozi wetu kiasi kwamba sasa common sense imegeuzwa kuwa mkakati.

Halafu, JUU YA YOTE, kuna sera na misimamo ya vyama. Leo hii hakuna atakayedai kuwa hajui kuwa CCM na vivutio vyake vya chama dola imejaa wanafiki wanaovizia fursa za kifisadi na kidikteta/kimungu. Kwangu mimi mgombea wa CCM nitakayemkubali ni yule atakayeainisha jinsi atakavyobadili chama hicho kuwa chama makini kitakachoachana na ulaghai uliokithiri na kusimamia demokrasia ya kweli na utawala bora.

I'm not so desperate as to pass common sense & nice generalities for policy and strategy.
 
Nakubaliana kabisa na kauli kuwa hana uzoefu, mapungufu yote aliyoyataja ni ya mfumo was serikali name chama chake. Hui no kwa sababu hajawahi kuwa kwenye bureaucracy ya mfumo husika yaani ndani ya baraza la mawaziri. Laiti angekuwa huko na akadiriki kuyasema hayo hadharani,wangekwisha mtupia virago. Tutamhukumu kwa ushiriki wake ktk katiba mpya

Uko serious au unatania? Mwigulu hajawahi kua katika serikali?
Leo hii ningeamini maneno yako na kumuamini Mwigulu kama hapo kabla alishawahi kupata misukosuko kwa ajili ya kutetea msimamo fulani.

Yeye atuambie tu leo ni kipi alichowahi kukisimamia kwa ajili ya wananchi katika vile alivyovisema jana?
 
Kama umeangalia kwenye bench lake Utaona Hana marafiki wakuwapa nyazifa Kunamke na watoto hivyo atakao wateua kwenye serikali yako they will be having job relation only.hivyo wakikosea ni Rahisi kuwaonya na kuwarudi sio mbaya kama mwana jamvi yeyote akiweka kauli ya huyu Mtu on Escrow scandal wakati akisisitiza kunakodi ya serikali na kutoa deadline ikusanywe....

Mpendachapati
 
Very true,Mwigulu Nchemba is the only man who can take Tanzania to higher levels.He told us how he will bring our Tanzania there,there where China,India ,Brasil are.Viva MWIGULU you are a visionary Leader.

Tanzania ni nchi ya kuiombea maana wasanii ni wengi na hawajitambui. Mwigulu Nchemba ambaye sasa hivi yuko Serikalini ameshindwa kusimamia hata yale madogo yaliyondani ya uwezo wake pale HAZINA, leo anakuja kuzungumza yale anayopaswa kuyafanya sasa anasema akiwa RAIS atayafanya. Bungeni yeye ni mpinzani wa MTU yeyote anayesema kweli, ni Muumini wa Ushirikina na Ubabe. Sasa Watanzania mmeanza ushabiki wa Kijinga come 2016 muanze kulalamika. Baada ya uchaguzi huu hakuna MWANANCHI kulalamika, Chagueni Mwigulu wenu awe RAIS then mje mlalamike tutawachapa viboko PUNDA nyie.
 
tatizo ndani ya ccm hayo mambo ya ukawa hawawezi kuyakubali kamwe. mwigulu kazungumza mambo ya ukawa tupu.
Kuyazungumza mambo ya UKAWA ni issue moja, na kuishi katika fikra za UKAWA ni issue Nyingine. Sio kila linalotoka mdomoni basi liko na Moyoni.

Mwigulu anajua UKAWA wanapendwa, hivyo njia rahisi ya yeye kujipendesha kwa wananchi ni kuishi ki-UKAWA UKAWA, but issue ni kwamba hayo maisha ndio yake halisi? Alishawahi hapo kabla kuishi hivi mpaka tumuamini kua hazugi?
 
Back
Top Bottom