Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste

Hawa wana siasa hawataki Mama asimame kwa miguu yake
 
Tena anasema kikwete alikuwa Hana Kadi nyekundu alikuwa anatembea na njano peke yake
 
Uzuri mama ukimsifia sana anaanza kukufuatilia kwa karibu, zamani ilikuwa ukisifu sana unaacha kufuatiliwa.

Nadhani genes kwa baadhi ya watu ni suala la uchaguzi na siyo kurithi
 
Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste
Wewe kikongwe habari za siku nyingi
 
Siasa siasani, kujipendekeza na unafiki wa kiwango cha juu kabisa.
 
Back
Top Bottom