Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Samia naye akifa, Mwigulu atamsifia Dkt. Mpango kuwa kajifunza kazi toka kwa Magufuli?
 
Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste
Umefufuka?
Ila ulichosema ni ukweli kabisa
 
Huyu Waziri wa Fedha MM amezidi kujaribu kumdunisha Rais SSH.. Kwa nini Rais SSH ajifunze toka kwa mtu au awamu yoyote? Kwani hawezi kuwa na staili yake ya ki-pekee?
Kujaribu kumlinganisha Rais SSH na awamu zingine ni uchonganishi uliopitiliza..
Urais wa SSH ni wa kipekee na hauwezi kulinganishwa na awamu nyingine yoyote labda Waziri Mwigulu awe na ubia na Urais huo kitu ambacho hakipo..
 
Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste
Hii ndio shida ya viongozi wateule wa CCM wamejaa unafiki na kujipendekeza mpaka wanageuza viongozi wakuu kuwa miungu watu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Samia mtumbue mwigulu huyu Jamaa Ni mnafiki.

Anakuchora tu na jua fika mwenzio ana ndoto za urais
Maderu awe rais?
Kua seriously basi yaani Kama anandoto za kua rais wa umoja vicoba wa wanyiramba hapa mjini ila kuhusu nchi anaota tu hatafikia hata ile point aliyoifikia mamvi!

Nadanganya ndugu zanguni?
😂😂😂😂😂😂
 
Shocked! haya maneno ya Mwigulu kwangu yamekuwa na maana kubwa sana..kuna msemo unasema kuwa " Samaki akitoka ndani ya mto akakuambia kuwa mamba anaumwa, basi muamini"..Huyu Madelu alikuwepo kwenye serikali ya awamu ya Tano, kwa maneno haya basi ananiaminisha kuwa awamu ile ilikuwa haiamini katika TAASISI (YA URAIS?) na ilikuwa INATESA WATU! Maneno mazito sana haya!
 
Back
Top Bottom