Mikono yenye Sugu
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 133
- 215
Msaka-tonge akiwa kazini. Mama ajihadhari na na komba-mwiko huyu, ni hatari.
Ni huyu alishauri JPM tusiwe tunapewa taarifa za maambukizi ya Covid-19 na tusishangae tukianza kutoa taarifa hizo akawa wa kwanza kusifu na kuuzodoa utawala uliopita. Unafiki ni moja ya kazi ngumu sana. Unapaswa kuwa bonge la ndumilakuwili na pengine uhusiano wa ujomba na vinyonga.