Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

We stepped to the right track since mi ddle March 2021
 
Nchi hii ni yetu sote, awe amekopi au hajakopi sie wana nchi tunahitaji amani zaidi ya kila kitu ,
 
Huyu Waziri wa Fedha MM amezidi kujaribu kumdunisha Rais SSH.. Kwa nini Rais SSH ajifunze toka kwa mtu au awamu yoyote? Kwani hawezi kuwa na staili yake ya ki-pekee?
Kujaribu kumlinganisha Rais SSH na awamu zingine ni uchonganishi uliopitiliza..
Urais wa SSH ni wa kipekee na hauwezi kulinganishwa na awamu nyingine yoyote labda Waziri Mwigulu awe na ubia na Urais huo kitu ambacho hakipo..
Mwigulu ka demka sana,
Bajeti yake ya kwanza alitakiwa awe serious sana,na hivi bajeti yenyewe magumashi!!
Mama SSH yupo peke yake na busara/utashi wake,wanamwondolea staha aliyojijengea katika utumishi wake.
 
Hapendi kuonea watu Mwigulu kamsahau Ulimboka? lile bomu kule Soweto Arusha Mwigulu akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Jaji Warioba alipigwa ngumi wakati gani? siasa tupu.
Bora jk alitesa,sio mwenda zake aliyetesa na kuua
 
Bongo zilizooza ni za wauaji ndo hawana hata utu, ni kuua tu wakihisi wao wataishi milele!!

Acha mama atende haki siyo kuonea wengine na wengine kuchekelea!

Siwezi sahau tulipochimbwa biti kwamba shangazi zetu watapigwa kichapo cha mbwa kisa tunadai haki yetu ya mazao ya korosho!!
Ila mlipigwa na kuuliwa kweli mlipotaka gesi isitoke mtwara?
 
Hiyo ni namna nyingine ya kusema "màgufool alijifunza kuendesha nchi kutoka kwa dikteta Mkapa aka mzee wa mauaji ya 2001
wakristo wenzangu wakatoliki, huwa wakipewa kuongoza nchi sijui kwann maisha ya nchi yanakuwa kama hivyo yaani..
 
Back
Top Bottom