Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Chini ya utawala wake wa ovyo ovyo, nilikuwa naona aibu mgeni akijua kuwa mm ni mtanzania, rais wa ovyo kuwahi kutokea dunian.Gwiji la maendeleo gani kaangusha mapato ya bidhaa za kilimo kama kichaa kwa kuingilia biashara ya korosho?
Kafuga majambazi kina Sabaya na Bashite.
Kajenga uwanja wa ndege kwao ambao haufanyi kazi mpaka watu wanatakankuutumia kuanikaia nafaka sasa.
Wacha mzaha wewe.
Magufuli alikuwa kawashikia akili wajingawajinga kama wewe tu, watu walioweza kuchuja mambo walimuona mshamba tu.
Hawa ng'ombe ndio waliomuharibu kwa kumsifia ovyo kwenye mambo ya ovyo mpk akajiona na yy ni Mungu wa pili.Huwa najiulizaga huyo magu alifanya nn Cha Cha ajabu mpaka mumuabudu hivi...... maana kwa raia maisha yalikuwa magumu,wafanyakaz hali zilikuwa hoi,kutekwa kuliongezeka,deni la taifa kuliongezeka,watu hawakuwa huru kuongea chochote wanachojisikia....
Kwa kauli hizi, Mwigulu Nchemba umewadhulumu heshima zao Rais mstaafu JK na Rais Mama Samia. JK hakuwa laissez faire kama unavyotaka kum-portray. Mifano ipo mingi, lakini mfano wa haraka ni ile issue ya aliyekuwa DC Albert Mnali alipowachapa waalimu viboko, Rais JK alichukua hatua mara moja akatengua uteuzi wake. Ati huyu ndiye unayesema "kadi nyekundu aliiacha nyumbani!".
Kujifunza nikuzuli, ila vyema ajifunze kwa Rais wa Kenya, ambaye anaonesha wazi Nchi yake anaipeleka kanani,budget yao mwaka huu tirion 70 plus , Sasa akijifunza kwa Jk machache kutoka kwake ya kulipeleka taifa linapotaka
Mnafiki anapoongea ukweli