Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi
👇
Screenshot_20220901-160949.jpg
 
Yale maelezo kwamba wananchi ndio waliotaka TOZO wenyewe yanatosha. Kama kuna ambaye hataki ashinikize zifutwe au akapinge mahakamani mengine ni porojo tu.
 
Huyu mtu anawaona Watanzania bado wajinga. Viongozi kama hawa ni mzigo. Kwa nini usifikirie kwenye rasilimali tulizonazo kuwa vyanzo vya mapato?. Hapo na yeye anajiona bonge la mbunifu kuwaza wananchi ndio vyanzo vya mapato
 
Back
Top Bottom