Mwigulu: Mkataba wa EPC+F ni Technical sana

Hakuna lolote kwa hili bunge la chama kimoja watatishwa mara moja na Mwenyekiti
Unasemaa kweli hasa wakipitia katika kinbachoitwa sijui "party caucus" ili kuunga mkono ujinga wanaofanya, hiku wakifikiri watanzania hawaelewi mambo technical

Watu hawa wanaishi katika dunia yao ambayo wanaamini ni wao pekee wenye kuelewa na kucjanganua mambo.
 
Mwigulu huwa anajiona ana akili pekee Tanzania nzima baada ya kuona wanyiramba wenzake wanaishi kwenye nyumba za tembe na umasikini wa kupindukia halafu yeye anaishi kwenye utajiri wa kupindukia kupita wizi wa mali za umma.
Sasa hapo akili nyingi inatoka wapi? Unaona ufahari gani kuwa tajiri uliyezungukwa na maskini?
 
Utaweza kujiunga na kila kitu, huyo alitakiwa atoe somo hilo jambo ni la maslahi ya umma. Pia alikuwa na wawakilishi wa wananchi wanapaswa wafahamu.
 
Hivi hawa watawala hawajisikii aibu! Maana hata mtu mjinga anaona kabisa hawa watu ni wezi waliopitiliza.
 
Kwani wakati wa kusaini huo mkataba hawakujua riba hupanda kushuka? Hao wakandarasi watafute pesa wajenge, otherwise na sisi twenda ICSID tukawashtaki, mbona wao wanatushtaki kila siku na kushinda matrillion?
Kama itafikia kushitakiana mimi sishauri njia hiyo inejaa miba na makorongo mengi itatupeleka kutumbukia kwenye shimo na tutakokolewa kweli.

Tufungue kesi lakini sio kutegemea ushindi maana mawakili watu watahongwa na tunajua hawana uwezo kama ilivyomtokea prof Osoro. Tutapigwa kwa kuuza mechi na incompetence ya watumishi wa umma ambao wao wanajua mambo technical saana wakiwa tanzania.
 
Mwigulu Bwege sana...hajui kwamba Kazi ya msomi kama anavyojitanabisha yeye ni kuchakata mambo magumu/technical yawe rahisi kwa mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa...if a PhD holder can not comprehend that...we are doomed.
Unategemea nini kwa waziri msomi wa kiwango cha udaktari, ambaye katika jimbo analowakilisha kumejaa nyumba za tembe?
 
Ulichotuelezea hapa,unafikiri mtu kama babu T ataelewa kweli
πŸ˜„

Ova
 
Sasa miaka hiyo 70,80 injinia katoka moshi tec au dar tec si mchezo

Ova
Lakini kama alivyosema Prof Lumumba, bafabara zetu zote wanajenga wachina tena hata sisi wa darasa la saba b tunaona ziko chini ya kiwango lakini tumeanza kuzalisha wasomi hao kama unavyosema zaidi ya miaka 50 sasa, wao wanafahamu mambo technical aana
 
Utaweza kujiunga na kila kitu, huyo alitakiwa atoe somo hilo jambo ni la maslahi ya umma. Pia alikuwa na wawakilishi wa wananchi wanapaswa wafahamu.
Haya ni mambo technical saana hata Spika ambaye ni mbobevu wa sheria, hawezi kuyaelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…