-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
wanajificha kwenye kichaka cha trchnicall saana ili kuwahadaa wananchi ambao sio wajinga kama wanavyofikiri.Nyerere alikuwa anahutubia kwa kiswahili rahisi tu, na hakuwahi kushindwa kueleza jambo lolote kwa kudai ni technical sana. Hivi viongozi wenye caliber hiyo wanapatikanaje? Obama na Clinton nao hujua kueleza mambo complex kwa lugha rahisi sana.
mkuu ni kwa sababu anaelewa vitu technical saana hadi aliyemteua anaona hakunna kama yeye.Kuna baadhi ya vitu haviitaji kabisa kuwa na elimu kubwa ili uvielewe...
Nchemba kwakweli hafai ni basi tu sijui ni nini kinambeba kwenye nafasi hiyo.
Mkuu😆😆 mkuu nimekuelewa sana hapa aise.mkuu ni kwa sababu anaelewa vitu technical saana hadi aliyemteua anaona hakunna kama yeye.
Itapita tu, hatuna wabunge wa kuzuia kitu bungeni....Kwa hali ilivyo yawezekana Mwigilu atapata wakati mgumu wakati wa kuwasilisha bajeti kuu ya serikali.
Watafanya maigizo ya kubana na kuachia kama walivyofanya kwa bashungwa. Kwanini kama bunge lisiagize mkataba huo kuletwa bungeni?Itapita tu, hatuna wabunge wa kuzuia kitu bungeni....
Sio bunge hili!!!! Hakuna watu wa kupinga.Watafanya maigizo ya kubana na kuachia kama walivyofanya kwa bashungwa. Kwanini kama bunge lisiagize mkataba huo kuletwa bungeni?
Hapa ndipo usomi wa Mwigulu, na wengi wengine unapowaangushia.Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Sasa si angalau wewe hapa umejipigapiga na kueleza kitu! Kwa mtu mwenye akili ya kutosha tu hata bila kwenda kwenye hizo shule zenu, ukimueleza hizo 'interest zinazo-float' atashindwa kuelewa unaeleza kitu gani?It can get very technical kwenye kupata hiyo mikopo na kukubaliana riba (you can’t get a fixed rate on long term loans) hasa mikopo ya muda mrefu jumlisha na middle man nae apate faida humo humo; it was a bad idea kwa ujenzi wa barabara.
Yote haya ni mambo yanayoelezeka, na kwa mtu mwenye akili nzuri yanaeleweka tu.Kama kuna currency risk, there must be interest risk na kwenye kuna mbinu za ku-manage risks huko na kuna hadithi za forward rate agreements, interest rate futures, interest rate options, interest rate (caps, floors and collars), interest rate swaps.
Nisaidie.Nchi yako ina mambo technical sana ambayo wewe huwezi kuyaelewa.
Ukitaka kuyaelewa jiunge nao na wewe ufahamu mamno technical ya serikali kukopa fedha na kuipa kampuni tena ya kigeni ijenge barabara na baadaye serikali ilipe mkopo na kampuni wakati Kuna TANROADS, TARURA nk.
Mkuu 'Mayor', hebu na wewe saidia hapa.Majibu nayo ya waziri don’t make sense anaulizwa ume sign vipi mkataba halafu leo hujui interest za madeni au zimebadilika vipi.
Hapo nimekuwekea options zote, chukulia wewe ndio waziri utatumia risk mitigation strategy ipi na utachagua na kwasababu gani to ensure you get a better deal,Yote haya ni mambo yanayoelezeka, na kwa mtu mwenye akili nzuri yanaeleweka tu.
Mkuu.Nisaidie.
Najuwa kuna tofauti kati ya mpango huu wa ujenzi wa barabara na mpango tulioutumia kukopa fedha WB na kuboresha Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwapa DP World waifanyie kazi bandari hiyo na kupata faida; lakini kweli hakuna aina fulani ya mfanano hapa?
Mkopo wa WB tutalipa sisi, siyo DPWorld, na huyu atapata faida kwa kazi atakayoifanya, ingawaje hatumlipi tena.
Mkuu 'Mayor', hebu na wewe saidia hapa.
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa ujenzi wa barabara zenye urefu wa zaidi ya km 2000.
Akijificha nyuma ya neno technical, waziri huuo ambaye anadai ni msomi, amesema watanzania wengi hawawezi kuelewa mkataba huo kwa kuwa ni technical.
Hata alivyotakiwa na Spika Tulia kuueleza kwa lugha rahisi, msomi huyo alianza kutoa mifano ya mikataba ya SGR kuwa ilifuata utaratibu huo.
hata hivyo maelezo hayo hayakuwaridhisha wabunge ambapo mbunge wa Kisesa alisema wabunge wana elewa hizo technicalities tofauti na anavyodai.
Amesema serikali imetoa majibu matatu tofauti kwa suala hilo na kuwataka kuomba radhi kwa kulidanganya bunge pia amemtaka waziri msomi atoe ushahidi kuwa ujenzi wa SGR lot 3 hadi 5 unafanyika chini ya utaratibu wa EPC+F.
Mbunge mwingine alimwambia waziri huyo msomi kuwa watanzania nje ya bunge sio wajinga kama anavyofikiri na kwamba wanauwezo mkubwa wa kuelewa na kuchambua mambo tofauti na anavyofikiri.
Kimbembe hicho kilitokana na mbunge Mdee kukariri maelezo ya CAG kuwa licha ya kusainiwa mkataba wa miradi hiyo utekelezaji wake umekwama.
Akijibu hoja hiyo waziri wa ujenzi, alisema setikali inatauta fedha za utwkelwzaji wake.
Hali hiyo ilisababisha mjadala mkali kwani EPC+F inamtaka mjenzi kutafuta fedha na kujenga barabara ambapo serikali utamlipa mjenzi huyo.
Badala yake serikali imeamua kutafuta fedha za ujenzi wa barabara na baadaye mje huyo atalipwa na serikali.
Spika alihoji sababu za serikali kumtafutia mjenzi fedha na baadaye mjenzi alipwa badala ya kutumia utaratibu wa sasa wa serikali kutangaza tenda na kumpata mkandarasi wa kujenga barabara husika .
Mawaziri watatu walilazikika kutoa ufafanuzi na kudai kuwa riba ya mikopo katika masoko duniani imepanda tofauti na ilivyokuwa wakati wa kuingia mkataba huo, hivyo serikali imechukua hatua ya kutafuta fedha za mradi huo ili mkandarasi aendelee.
Akihitimisha Mbunge Mdee alitaka setikali kufuta kifungu kinachoeleza mkataba huo kutoka katika hotuba ya bajeti na kuweka kifungu kinachoeleza hali halisi
Tatizo kubwa la mzee wa scarf na tai ya bendera nikujiona mtaalamu sana kwenye uchumi kuliko mtu yeyote ana Ego sana ila jamaa nichangamoto kubwa katika uchumi wetu huo ndio ukweriiiiiiiii moment tutakapostuka watakua wameharibu sana uchumi na kuja ku repair itatuchukua miaka mingiWaziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa ujenzi wa barabara zenye urefu wa zaidi ya km 2000.
Akijificha nyuma ya neno technical, waziri huuo ambaye anadai ni msomi, amesema watanzania wengi hawawezi kuelewa mkataba huo kwa kuwa ni technical.
Hata alivyotakiwa na Spika Tulia kuueleza kwa lugha rahisi, msomi huyo alianza kutoa mifano ya mikataba ya SGR kuwa ilifuata utaratibu huo.
hata hivyo maelezo hayo hayakuwaridhisha wabunge ambapo mbunge wa Kisesa alisema wabunge wana elewa hizo technicalities tofauti na anavyodai.
Amesema serikali imetoa majibu matatu tofauti kwa suala hilo na kuwataka kuomba radhi kwa kulidanganya bunge pia amemtaka waziri msomi atoe ushahidi kuwa ujenzi wa SGR lot 3 hadi 5 unafanyika chini ya utaratibu wa EPC+F.
Mbunge mwingine alimwambia waziri huyo msomi kuwa watanzania nje ya bunge sio wajinga kama anavyofikiri na kwamba wanauwezo mkubwa wa kuelewa na kuchambua mambo tofauti na anavyofikiri.
Kimbembe hicho kilitokana na mbunge Mdee kukariri maelezo ya CAG kuwa licha ya kusainiwa mkataba wa miradi hiyo utekelezaji wake umekwama.
Akijibu hoja hiyo waziri wa ujenzi, alisema setikali inatauta fedha za utwkelwzaji wake.
Hali hiyo ilisababisha mjadala mkali kwani EPC+F inamtaka mjenzi kutafuta fedha na kujenga barabara ambapo serikali utamlipa mjenzi huyo.
Badala yake serikali imeamua kutafuta fedha za ujenzi wa barabara na baadaye mje huyo atalipwa na serikali.
Spika alihoji sababu za serikali kumtafutia mjenzi fedha na baadaye mjenzi alipwa badala ya kutumia utaratibu wa sasa wa serikali kutangaza tenda na kumpata mkandarasi wa kujenga barabara husika .
Mawaziri watatu walilazikika kutoa ufafanuzi na kudai kuwa riba ya mikopo katika masoko duniani imepanda tofauti na ilivyokuwa wakati wa kuingia mkataba huo, hivyo serikali imechukua hatua ya kutafuta fedha za mradi huo ili mkandarasi aendelee.
Akihitimisha Mbunge Mdee alitaka setikali kufuta kifungu kinachoeleza mkataba huo kutoka katika hotuba ya bajeti na kuweka kifungu kinachoeleza hali halisi
Naungana nawe lakini, Huu u-mart ya msomi mwenye jufahamu mambo technical sana unatoka wapi?Tatizo kubwa la mzee wa scarf na tai ya bendera nikujiona mtaalamu sana kwenye uchumi kuliko mtu yeyote ana Ego sana ila jamaa nichangamoto kubwa katika uchumi wetu huo ndio ukweriiiiiiiii moment tutakapostuka watakua wameharibu sana uchumi na kuja ku repair itatuchukua miaka mingi