ameteleza, atakwenda kuomba msamaha kuwa lilimtoka bila kujuaHajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275
Kwa sababu inakuwa ni ajabu na mshangao kwa watu ambalo waliapa na kusisitiza kwamba hilo neno halimo kwenye "dikishenare" yao.Kwanini ikizungumzwa haki mnaweuka kama vichaa?
Ashonee visponji magotini kwa sababu atatumia muda mrefu kutoa maelezo na kufanya toba.ameteleza, atakwenda kuomba msamaha kuwa lilimtoka bila kujua
Bonge la mnafique huyo jamaaHajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275
Hivi,huyu ndiye alimtengenezea Lwakatare kesi ya ugaidi au namfananisha?Bonge la mnafique huyo jamaa
Tetesi aliwekewa sumu alipokuwa Ufaransa.Baada ya kuugua kwa sababu zisizo julikana anarejewa na utu na ufahamu.
Kama akiwekewa ndiyo akili njema zinamrudia,basi aongezwe dozi.Tetesi aliwekewa sumu aliokuwa Ufaransa.
Ana machafu mengi sana na ana roho mbaya shetani anasubiriHivi,huyu ndiye alimtengenezea Lwakatare kesi ya ugaidi au namfananisha?
Binafsi sijawahi kumwelewa uyu jamaa msimamo wake km kiongozi ni mtu ambaye ucheza na upepo pamoja na fursa za kisiasa na kuwaada Wananchi Kwa manufaa ya kisiasa.Bonge la mnafique huyo jamaa
Usugumi nikifanya dhambi kidogo naogopa kwenda kanisani
hawa watu wanawwezaje kusali?
usugu wa dhambi 🤣🤣Usugu
Alizunguka na Tesha Tanzania nzima kuaminisha watu Lwakatare kafanya ugaidi.Hivi,huyu ndiye alimtengenezea Lwakatare kesi ya ugaidi au namfananisha?
Exactly! Inafika mahali, kuua watu ni kama kunywa supu au bia baridi inavyokuwa tamu! Anaona utamu kuua!usugu wa dhambi 🤣🤣