ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Tesha yupi?Alizunguka na Tesha Tanzania nzima kuaminisha watu Lwakatare kafanya ugaidi.
Tesha yupi?Alizunguka na Tesha Tanzania nzima kuaminisha watu Lwakatare kafanya ugaidi.
Masikini Tesha!Hivi aliishia wapi baada ya sakata la tindikali?Alizunguka na Tesha Tanzania nzima kuaminisha watu Lwakatare kafanya ugaidi.
Sidhani, huyu kaandika kama kibwagizoWatanzania ni rahisi sana kuwatawala.
Leo hii mnamuona Mwigulu kama mkombozi, mmesahau yote aliyotufanyia kisa tu ametamka neno HAKI ambalo hata yeye hajawahi kuifata.
Nani kasema Mwigulu kawa mkombozi, kwani Nchimbi ni mkombozi?Watanzania ni rahisi sana kuwatawala.
Leo hii mnamuona Mwigulu kama mkombozi, mmesahau yote aliyotufanyia kisa tu ametamka neno HAKI ambalo hata yeye hajawahi kuifata.
Wakati huo ulikuwa kwenye fungate na Luca.Tesha yupi?
Masikini Tesha!Hivi aliishia wapi baada ya sakata la tindikali?
Alikuwa bado yupo la 4B.Wakati huo ulikuwa kwenye fungate na Luca.
Haki na amani unachagua nn kama wewe siyo mwehu??Kwanini ikizungumzwa haki mnaweuka kama vichaa?
Jamaa aliigiza kuwa naye bega kwa bega ila saa hizi kawa as dumped in the bin as hell!
Huwa tunamcharua kidogo.Alikuwa bado yupo la 4B.
Limemttoka bahati mbaya. BUT, mnadhani hawajui kuwa haki ni msingi wa kila kitu, wanajua. Ila kwa kuvunja haki wanatawala kwa wanavyopenda, ndiyo maana WNAPUUZA HAKI! WANAPUUZA U HAKI SIYO KUWA HAWAJUI UMUHIMU WA HAKIHajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275
Alimwagiwa tindikali usoni kwenye uchaguzi mdogo kule IgungaTesha yupi?
Mwana kulitafuta mwana kulipata.Hajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275
Walimtumia kisha wakamdampo. Maana alikuwa anatisha hata kumwangalia.Masikini Tesha!Hivi aliishia wapi baada ya sakata la tindikali?
Wewe ndiye mwenye changamoto. Kimsingi nyumba za ibada zinawahitaji zaidi wenye dhambi kuliko kinyume chake.mi nikifanya dhambi kidogo naogopa kwenda kanisani
hawa watu wanawwezaje kusali?
dhambi ambayo huwezi kuiacha namaanishaWewe ndiye mwenye changamoto. Kimsingi nyumba za ibada zinawahitaji zaidi wenye dhambi kuliko kinyume chake.
Ndio unatakiwa kuwa karibu zaidi na nyumba ya ibada.dhambi ambayo huwezi kuiacha namaanisha
kwamba najua hata nikienda kusali kesho nitairudia
Tena kwa asilimia mia mojaBonge la mnafique huyo jamaa