Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

Yule Yule pia ndio huyu huyu akalipua bomu pale Arusha wakafa watanzania wenzetu kazaa pale
Na,Ile sulphuric acid aliyomwagiwa mtu kwenye kampeni itamuandama msisha yake yote.Mungu na wanadamu
Ya bwana Tesha kule Igunga hakuishia hapo akamkazia mke mwana CCM mwenzake Kisha akakamatwa ugoni CCM wakamkimbiza usiku mnene
Mtondoo?
 
Back
Top Bottom