Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

Hajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.

Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.

His days are numbered.

View attachment 3674275
Limemttoka bahati mbaya. BUT, mnadhani hawajui kuwa haki ni msingi wa kila kitu, wanajua. Ila kwa kuvunja haki wanatawala kwa wanavyopenda, ndiyo maana WNAPUUZA HAKI! WANAPUUZA U HAKI SIYO KUWA HAWAJUI UMUHIMU WA HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…