Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Samahani lkn Niko Nje ya mada.dhambi ambayo huwezi kuiacha namaanisha
kwamba najua hata nikienda kusali kesho nitairudia
masai bibiSamahani lkn Niko Nje ya mada.
Hivi wewe dada yangu nimekujua miaka mingi mno,je Hadi Leo bado uko dada TU?
Kwa Nini usiwe Masai Mama?
Naomba unisamehe lkn
duhNdio unatakiwa kuwa karibu zaidi na nyumba ya ibada.
Bwana Yesu hakuja kwa wasio na dhambi bali kwa wenye dhambi.duh
kiukweli mi nikijua hii dhambi nairudia naogopa hata kusali
sahihi ila ndo unatakiwa uiacheBwana Yesu hakuja kwa wasio na dhambi bali kwa wenye dhambi.
Ametuma Roma kumuwakilisha Rais, tusubiri yajayo. Hakuna vikao visivyo na story za mezani mida ya misosi, hawatasita kumuulizia muumini wao alipoHajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275
Kwasababu wanaousema sio kasumba zao kusemea watu wapate haki!..Kwanini ikizungumzwa haki mnaweuka kama vichaa?
Sasa kuiacha ni mchakato, jipe muda , jiweke karibu naye baada ya muda utaanza kupona.sahihi ila ndo unatakiwa uiache
sio kuendelea nayo
Bibi hapana ,hiyo sidhani,Ila Aunt au mama sawa.masai bibi
siwezi tu kubadili id ila nishakua mbibi
mshangazi basiBibi hapana ,hiyo sidhani,Ila Aunt au mama sawa.
Hajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI.
Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe.
His days are numbered.
View attachment 3674275