Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 1.jpg

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai...jpg
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma.

Katika ukaguzi huo, Waziri Mkuu ameridhishwa na hatua zilizofikiwa na kuwataka wote wanaohusika kuendelea kukamilisha maandalizi yaliyobaki kwa wakati ili maadhimisho hayo yafanyike kwa utaratibu na hadhi inayostahili.

Maadhimisho hayo yataongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Back
Top Bottom