PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
 
Hivi hiki cheo cha PM ndio walishika watu kama Edward Moringe Sokoine?

What a downfall!!
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Waziri mkuu wa hovyo kuwahi kutokea,anazani bado yuko bungeni kuongea porojo zake
 
Yupo sahihi hakuna MTU huwa anafanya Kazi ya bure ndo maana tunasema vijana LINDA UHAI WAKO ACHANA NA MAANDAMANO

Danganyaneni hivyo hivyo,punde si punde mtabaini kuwa maharage sii mboga.
 
Niliwahi sema na narudia kusema tena: hawa "viongozi" waliopo Sasa ni hatari kuliko hata wakoloni wenyewe kwa sababu ni WANAFIKI SANA.

Hata Biblia ambayo huyu mwigulu Huwa anaapa huku ameishika, Mungu mwenyewe anaasa hivi:
"Ni heri uwe moto au baridi. Ukiwa vuguvugu nitakutapika"

Huo uvuguvugu ndio unafiki wa hawa wanaojiita "viongozi"
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Pimbaff pumba na upumbaff mtupu. Cheo cha waziri mkuu kimenajisika
 
Watu wanahamasishwa na mabaya ya serikali ya Samia. Mengine ni projection tu.
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Wapeleke kesi ICC maana huyu mjinga badala ya kuudhibiti mdomo wake anaropoka kama teja bila kujua anajikaanga zaidi
 
Back
Top Bottom