PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna maisha bila ya haki na uwajibikaji hivyo vitu huleta amani ya kweli.

We here to re write our politics story.

TAFUTA NJIA SAHIHI ZA KUDAI HAKI NA SIO MAANDAMANO

LINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
mwiguru mpumbavu sana afu ni litahila
 
Huyu naye?! Hatuna maji na jua kali hili, bidhaa bei mbaya, UFISADI wawa tishio, miundo mbinu yasua sua, uwajibikaji serikalini hakuna, matumizi mabaya ya serikali yanatuumiza yeye yuko na kina mange tuu?!
Bogus kabisa kabisa kabisa
🤬😡😠😤
 
Back
Top Bottom