PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukiwa umeshaingiziwa posho yako ya siku unadhani utaacha kuwa supportive hata kwa mambo ya kijinga ili na kesho iingizwe!

Watu mmejitoa ufahamu kabisa.
Mkuu mm I'm not here to speak the soft voice

I'm here to secure the future of younger generation ili wasiandamane na kuuliwa.
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Vipi na humu wa Jf Kuna Taifa limewasaidia?
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Hivi ile tume ya Muheshimiwa Othman Chande imeshamaliza kazi?
Kama bado Mwigullu Nchemba apeleke hizo takataka zake kwenye hiyo tume!
 
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Tumesimamishwa njiani foleni njiani
Waziri Mkuu anapita
Kumbe alipita aongee hata?

Viongozi lazima wajifunze kwamba ukimya ni busara kuliko kuendelea kukebehi watu.
 
Tangu yule mzee muongo anaye-dye nywele zake na rangi nyeusi hii nafasi ya PM inabanangwa tu na kuhondomolewa tu.
 
Mean while ni mwezi sasa wakazi wa Dar wanakunywa maji ya kwenye madimbwi na hawaogi ukipanda daladala ni harufu tu na hili joto
 
Huyu amekuwa amekuwa kama wale akina mama wambeya. Kila wakati anapenda kupiga majungu, maneno yasiyo na vichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom