PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
huyu anatofauti gani na yericko nyerere,tunarudia utekaji,ufiraji,ufisadi sheria mbovu za uchaguzi na katiba mpya ndiyo chanzo cha maandamano ina maana laana ya kuua kwa risasi watoto wa kitanganyika imeanza mapema hivi mbona anaropoka vitu havieleweki huyu
 
Mbwane owe tulegele epa konshani kobee nzee akuishi ntombele
 
Same old stories

NONNSENSEE..🤬🤬🤬🤬
 
..wasiojulikana nao waache kuteka, kutesa, na kuuwa, walinde amani ya nchi. Na serikali ya Ccm inayofadhili genge hilo waache mara moja.
KIJANA ACHANA NA SIASA ZINAGATIA UHAI WAKO TU
 
Huyu mwigulu yuko kwenye kampeni gani, anaacha kwenda kukagua matumizi ya fedha za serikali muda wote anaongelea wapinzani kama yuko kwenye kameni za uchaguzi. Hapa waziri mkuu tumepigwa.
 
Huyu akipewa kibano cha kisakolojia vizuri anavyoendeshwa na hisia atalopoka neno 🇰🇪.Anawashwawashwa sana kutaja hilo jina kama alivyoitaja 🇧🇮.Ataje 🇰🇪 wamjibu.
 
Yupo sahihi hakuna MTU huwa anafanya Kazi ya bure ndo maana tunasema vijana LINDA UHAI WAKO ACHANA NA MAANDAMANO
Ukiwa umeshaingiziwa posho yako ya siku unadhani utaacha kuwa supportive hata kwa mambo ya kijinga ili na kesho iingizwe!

Watu mmejitoa ufahamu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…