Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Ni ya serikali. Hivi Rais Samia huu mzigo anawezaje kukaa nao??? Yaani inakera, kwanza ni kashfa kubwa sana kuwaambia watanzania wenzako eti wahamie Burundi???? Yaani disgusting 🤮
 
Ulijipiga kifua na kufurahi huku ukikenua meno. Ukatuambia tuhamie Burundi. Sasa mnashughulikia nini.?
 
Wakimaliza hilo mama amalizie na wewe kuondoka ofisini.
 
Tulikuona kwa macho yetu uso mkavu na ukiwa serious kuwa kama hatutaki kulipa tozo tuhamie Burundi.

Sasan mtu aliyekosoea bahati mbaya atatamka maneno kama haya?

Leo hii unadai wewe ni binadamu na ulikosea!

Hao binadamu uliosema wahamie burundi ni wanyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…