PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.

Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.

Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.

“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.

Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.

Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.

"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
 
Maneno kuntu sana !
Viongozi wetu wanateswa sana na majungu
 
View attachment 3505494
Mheshimiwa mama yake anaitwa Asha Ramadhan Omar? mke anaitwa neema. Mashallah. Mheshimiwa anapenda kuswali masjid gani?
 
Hata ya bureau de change bubu hana?
 
Mtu aliyeshindwa kunyoosha maelezo kuhusu origin ya jina lake la Mwigulu Nchemba ataweza kunyoosha maelezo ya hili la pesa? Hilo sio jina la Kinyiramba!
 
Nilikuwa najiuliza samia kampaje mkristo cheo cha waziri mkuu nikasema basi ni lazima huyo mkristo aweni fisadi haswa ila sasa nimejua kuwa kuna uislamu pia ndani ya huyo waziri ...nilidhani sababu ni ufisadi na uchawa tu
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.

Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.

Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.

“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.

Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.

Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.

"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
View attachment 3505494
E
 
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema wapo baadhi ya watu ambao kazi yao ni kupotosha mambo na kuwajaza Watanzania uongo ili waichukie nchi yao na kuichoma.

Akizungumzia mabasi ya Esther kuchomwa katika vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi, amesema hana biashara yoyote anayoimiliki na kwamba taarifa kwamba mabasi hayo ni yake na ameyapa jina la mkewe au mama yake, ni upotoshaji mkubwa.

"Siku hizi watu hawaogopi hata kusingizia watu. Anasingizia akiwa mkavu, hafanyi hata utafiti wa kumjua vizuri mtu anayetaka kumsema. Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther , jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye. Wanasema, ‘aa basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake! Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhan Omary. Hamumjui? Yupo hapa"

Lakini Mwigulu amesema hii biashara haihusiani na Mke wake na wala haitwi Esther anaitwa Neema....kwenye tangazo la kurejea huduma za kampuni hiyo Novemba 6, jina la Neema lipo kama mmiliki mwenza wa Esther Luxury Coach. Sasa kwanini anawafanya Watanzania kama wapumbavu hawajui kitu?

Screenshot 2025-11-22 092448.png
 
Back
Top Bottom