viongozi wenu na nani? mbwa weManeno kuntu sana !
Viongozi wetu wanateswa sana na majungu
Kuna ile duka pia la Pesa za Kigeni tutalifikia kabla hatujaenda kwenye team yako ile ya Mpira“Siku hizi watu hawaogopi hata kusingizia watu. Anasingizia akiwa mkavu, hafanyi hata utafiti wa kumjua vizuri mtu anayetaka kumsema. Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther , jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye. Wanasema, ‘aa basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake! Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhan Omary. Hamumjui? Yupo hapa,” Dkt. Mwigulu.
View attachment 3505673
Kwahio alidhani atakubali??Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.
Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.
Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.
“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.
Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.
Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.
"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
View attachment 3505494
[emoji23]Hata Petro alimkana Yesu kabla ya jogoo kuwika ..
[emoji23]Hata ya bureau de change bubu hana?
Kama yale majungu ya rais kupsta kura 31m, huku kukiwa hakuna idadi hiyo ya wapiga kura vituoni.Maneno kuntu sana !
Viongozi wetu wanateswa sana na majungu
Huyu ni mtandaoNilikuwa najiuliza samia kampaje mkristo cheo cha waziri mkuu nikasema basi ni lazima huyo mkristo aweni fisadi haswa ila sasa nimejua kuwa kuna uislamu pia ndani ya huyo waziri ...nilidhani sababu ni ufisadi na uchawa tu
E
....😎Hata ya bureau de change bubu hana?
Wachezaji, msemaji, makocha, filimbi, mipira na magoli pia vitakula faya? 😂 😂 😂 jamani jamani mtoto wa Asha Ramadan binti wa kiislamu asa itakuaje???????Subiri waje wachome Singida Black Stars
Aah wapi majizi tu hao, unadhani angekubali ma bus ni yake?!.Maneno kuntu sana !
Viongozi wetu wanateswa sana na majungu
Mke wake siye Neema Peter Thomas