PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA

MARCH 13 2025 ALERT [emoji599] [emoji599][emoji599]
JE Mwigulu Nchemba NI SAWA NA NGOSWE
PENZI KITOVU CHA UZEMBE JE ANAPASWA
KUITWA NGOSWE ?!

Mwigulu Nchemba ameitelekeza ndoa yake family yake na Mke wake amekuwa mbogo na akimtafuta mbunge huyu, Kwa udi na uvumba penzi zito kwa mnyarwanda limemchanganya mnyiramba mbunge huyu wa viti Maalumu.

Mtu huyu aliyemtengeneza mwenyewe anaitwa Mh Oliver Semguruka mbunge wa viti maalum Kagera.Mbunge huyu amekuwa akimkimbia mke wa Mwigulu mara kwa mara kwani mke wa Mwigulu ni mtata kwelikweli.Mwigulu ile
Kipindi Cha Magufuli akiwa WAZIRI wa ujenzi, Mwigulu Nchemba alienda Rwanda kipindi hicho kwenye vikao akanogewa akaja naye TANZANIA .

Mbunge ni mnyarwanda ila Mwigulu Nchemba alimuingiza ccm kwa njia za panya adi kupata kadi ya CCM adi kugombea na kuwa mbunge! na saivi Mwigulu anamwaga pesa Arusha ili mtoto wa dada ake uyo mbunge mnyarwanda apate ubunge Arusha kupitia Vijana UVCCM.Huyo mbunge mnyarwanda kuna maneno anashindwa hata kutamka vizuri ya kiswahili nawawekea hii link nendeni YouTube mkaangalie anavyoshindwa kutamka baadhi ya maneno ya kiswahili ongea yake kabisa unajua sio mtanzania[emoji1314]
View: https://youtu.be/N5qmTzAblA0?si=xdDgdPj99BwjWCcQ

Mbunge huyu viti Maalumu ni upelelezi yupo kwenye payrol ya Kagame duh wewe Madilu utatuuzia nchi kwa Penzi kitovu Cha uzembe! Unachezea nchi utuwekee nchi hatarini !!!!?

FIC,LBL ,Oya Oya, Betting anamiliki mke wake.
Wenye mchongo huo wa UJANJA UJANJA
Yetu na nyie wananchi msicheze kituko
Kwamba FIC ilisajiliwa B.O.T.!!!!!!!!!!!!dah !
Mwigulu anasema mabus ya Esta sio yake na sio ya mke wake lakini yalikua yanapiga kampeni za kumnadi jimboni kwake na kubeba wananchi na kwamba mke wake anaitwa Neema na sio Esta lakini wamiliki wa hayo mabus kulingana na taarifa ya Esta luxury wenyewe Majina ya mke wake Neema yametajwa hapo kwenye ripoti ngoja niwawekee kabisa na hiyo picha nyingine ni ya huyo mbunge anayedaiwa kuletwa kutoka Rwanda

Kunawakati ni aheri kunyamaza kuliko kusema.. aliwahi kusema polepole kuwa kabla hujasema assess kwanza then jipe mda wa kutafakari halafu chambua cha kusema then sema.. hasa kwa wanasiasa wanao simama mbele ya umma kila wakati..
 
Back
Top Bottom