Yaani sahivi Dar wanaiogopa kama ukoma. Angekuja kusema Dar au Mwanza!!.. mbona anafanyia mkutano Singida
Mheshimiwa mama yake anaitwa Asha Ramadhan Omar? mke anaitwa neema. Mashallah. Mheshimiwa anapenda kuswali masjid gani?Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.
Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.
Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.
“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.
Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.
Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.
"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
View attachment 3505494
Hata ya bureau de change bubu hana?Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.

Mtu aliyeshindwa kunyoosha maelezo kuhusu origin ya jina lake la Mwigulu Nchemba ataweza kunyoosha maelezo ya hili la pesa? Hilo sio jina la Kinyiramba!Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.
Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.
Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.
“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.
Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.
Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.
"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
View attachment 3505494
EWaziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.
Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote nyie ni waongo na wabaya. Mmefikishwa pabaya Watanzania, na kila jambo mmeanza tu kubeba (kuamini),” amesema.
Amefafanua kuwa magari yanayojulikana kwa jina la “Esther Luxury Coach” hayahusiani na mke wake, ambaye anaitwa Neema, na si Esther, na wala hayahusiani na mama yake, aitwaye Asha Ramadhan Omary.
“Juzi nikasikia tumechoma magari ya Esther, ya Mbunge wa Iramba (Mwigulu Nchemba). Eeh, eti ni magari yake yanaitwa Esther, jina la mke wake. Mke wangu haitwi Esther, anaitwa Neema, na leo nilikuwa naye hapa... Wanasema, basi kama siyo ya mke wake, itakuwa ya mama yake. Mama yangu ni binti wa Kiislamu anaitwa Asha Ramadhani Omary,” amesema.
Ameeleza kusikitishwa na tabia ya baadhi ya Watanzania kupotosha ukweli kwa kusingizia bila hata kufanya utafiti wa kina.
Akizungumza leo Novemba 21, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Bombadia, Halmashauri ya Singida Mjini, Dkt. Mwigulu amesema yeye amewekeza katika elimu ambapo anasomesha vijana kadhaa na si biashara.
"Mimi sina biashara hata ya Noah... Nimewekeza kwenye huduma ya watu,” amesisitiza.
View attachment 3505494
amepita home kusalimia, kumbuka huko singida ndio homeland.. mbona anafanyia mkutano Singida