PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna ile duka pia la Pesa za Kigeni tutalifikia kabla hatujaenda kwenye team yako ile ya Mpira
 
Kwahio alidhani atakubali??
 
Kweli kunyaza no kuzuri kuliko kuongea, unapoongea husababasha watu kufukunyua kuutafuta ukweli
 
Mwigulu anajikutaga mzalendo wa hii nchi kumbe team mtandao hata kifo cha Magu ni Miongoni mwa watu waliofurahia na bado
 
Nilikuwa najiuliza samia kampaje mkristo cheo cha waziri mkuu nikasema basi ni lazima huyo mkristo aweni fisadi haswa ila sasa nimejua kuwa kuna uislamu pia ndani ya huyo waziri ...nilidhani sababu ni ufisadi na uchawa tu

E
Huyu ni mtandao
 
Subiri waje wachome Singida Black Stars
Wachezaji, msemaji, makocha, filimbi, mipira na magoli pia vitakula faya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamani jamani mtoto wa Asha Ramadan binti wa kiislamu asa itakuaje???????
 
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA

MARCH 13 2025 ALERT [emoji599] [emoji599][emoji599]
JE Mwigulu Nchemba NI SAWA NA NGOSWE
PENZI KITOVU CHA UZEMBE JE ANAPASWA
KUITWA NGOSWE ?!

Mwigulu Nchemba ameitelekeza ndoa yake family yake na Mke wake amekuwa mbogo na akimtafuta mbunge huyu, Kwa udi na uvumba penzi zito kwa mnyarwanda limemchanganya mnyiramba mbunge huyu wa viti Maalumu.

Mtu huyu aliyemtengeneza mwenyewe anaitwa Mh Oliver Semguruka mbunge wa viti maalum Kagera.Mbunge huyu amekuwa akimkimbia mke wa Mwigulu mara kwa mara kwani mke wa Mwigulu ni mtata kwelikweli.Mwigulu ile
Kipindi Cha Magufuli akiwa WAZIRI wa ujenzi, Mwigulu Nchemba alienda Rwanda kipindi hicho kwenye vikao akanogewa akaja naye TANZANIA .

Mbunge ni mnyarwanda ila Mwigulu Nchemba alimuingiza ccm kwa njia za panya adi kupata kadi ya CCM adi kugombea na kuwa mbunge! na saivi Mwigulu anamwaga pesa Arusha ili mtoto wa dada ake uyo mbunge mnyarwanda apate ubunge Arusha kupitia Vijana UVCCM.Huyo mbunge mnyarwanda kuna maneno anashindwa hata kutamka vizuri ya kiswahili nawawekea hii link nendeni YouTube mkaangalie anavyoshindwa kutamka baadhi ya maneno ya kiswahili ongea yake kabisa unajua sio mtanzania[emoji1314]
View: https://youtu.be/N5qmTzAblA0?si=xdDgdPj99BwjWCcQ
Mbunge huyu viti Maalumu ni upelelezi yupo kwenye payrol ya Kagame duh wewe Madilu utatuuzia nchi kwa Penzi kitovu Cha uzembe! Unachezea nchi utuwekee nchi hatarini !!!!?

FIC,LBL ,Oya Oya, Betting anamiliki mke wake.
Wenye mchongo huo wa UJANJA UJANJA
Yetu na nyie wananchi msicheze kituko
Kwamba FIC ilisajiliwa B.O.T.!!!!!!!!!!!!dah !
Mwigulu anasema mabus ya Esta sio yake na sio ya mke wake lakini yalikua yanapiga kampeni za kumnadi jimboni kwake na kubeba wananchi na kwamba mke wake anaitwa Neema na sio Esta lakini wamiliki wa hayo mabus kulingana na taarifa ya Esta luxury wenyewe Majina ya mke wake Neema yametajwa hapo kwenye ripoti ngoja niwawekee kabisa na hiyo picha nyingine ni ya huyo mbunge anayedaiwa kuletwa kutoka Rwanda
View attachment 3505693
 
View attachment 3505692View attachment 3505693
 
View attachment 3505692
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…