PostGE2025 Mwigulu Nchemba ayakana mabasi ya Esther,asema Hana hata biashara ya Noah

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA

MARCH 13 2025 ALERT [emoji599] [emoji599][emoji599]
JE Mwigulu Nchemba NI SAWA NA NGOSWE
PENZI KITOVU CHA UZEMBE JE ANAPASWA
KUITWA NGOSWE ?!

Mwigulu Nchemba ameitelekeza ndoa yake family yake na Mke wake amekuwa mbogo na akimtafuta mbunge huyu, Kwa udi na uvumba penzi zito kwa mnyarwanda limemchanganya mnyiramba mbunge huyu wa viti Maalumu.

Mtu huyu aliyemtengeneza mwenyewe anaitwa Mh Oliver Semguruka mbunge wa viti maalum Kagera.Mbunge huyu amekuwa akimkimbia mke wa Mwigulu mara kwa mara kwani mke wa Mwigulu ni mtata kwelikweli.Mwigulu ile
Kipindi Cha Magufuli akiwa WAZIRI wa ujenzi, Mwigulu Nchemba alienda Rwanda kipindi hicho kwenye vikao akanogewa akaja naye TANZANIA .

Mbunge ni mnyarwanda ila Mwigulu Nchemba alimuingiza ccm kwa njia za panya adi kupata kadi ya CCM adi kugombea na kuwa mbunge! na saivi Mwigulu anamwaga pesa Arusha ili mtoto wa dada ake uyo mbunge mnyarwanda apate ubunge Arusha kupitia Vijana UVCCM.Huyo mbunge mnyarwanda kuna maneno anashindwa hata kutamka vizuri ya kiswahili nawawekea hii link nendeni YouTube mkaangalie anavyoshindwa kutamka baadhi ya maneno ya kiswahili ongea yake kabisa unajua sio mtanzania[emoji1314]
View: https://youtu.be/N5qmTzAblA0?si=xdDgdPj99BwjWCcQ
Mbunge huyu viti Maalumu ni upelelezi yupo kwenye payrol ya Kagame duh wewe Madilu utatuuzia nchi kwa Penzi kitovu Cha uzembe! Unachezea nchi utuwekee nchi hatarini !!!!?

FIC,LBL ,Oya Oya, Betting anamiliki mke wake.
Wenye mchongo huo wa UJANJA UJANJA
Yetu na nyie wananchi msicheze kituko
Kwamba FIC ilisajiliwa B.O.T.!!!!!!!!!!!!dah !
Mwigulu anasema mabus ya Esta sio yake na sio ya mke wake lakini yalikua yanapiga kampeni za kumnadi jimboni kwake na kubeba wananchi na kwamba mke wake anaitwa Neema na sio Esta lakini wamiliki wa hayo mabus kulingana na taarifa ya Esta luxury wenyewe Majina ya mke wake Neema yametajwa hapo kwenye ripoti ngoja niwawekee kabisa na hiyo picha nyingine ni ya huyo mbunge anayedaiwa kuletwa kutoka Rwanda
 
Uwa wanachongeana wenyewe, waliouza siri yake ni watu wa serikali.

Mabasi yameingia bandarini kwa jina la mkewe, kama ‘kickback’ baada ya kupendelea tender ya SGR kwa wachina.

Wenzake wametoa siri mpaka anakuwa waziri wa mambo ya ndani alikuwa ajajenga. Nyumba yake ya kwanza kapewa na wasomali Mbezi beach akiwa mambo ya ndani kipindi cha Magufuli

Hayo mengine ni ngojera tu, we get it alizaliwa muislamu akabadili dini.
 
Hayo mengine ni ngojera tu, we get it alizaliwa muislamu akabadili dini.

a ha kumbe ni muslim (pia), kila mahali antichrists ni wengi sana, ndo maana mauaji yasiolezeka yametamalaki halafu ni kama vile hakuna kilichotokea, duh ...
 
Ukweli na uwazi Kwa viongozi wetu upo sifuri na hii ipo katika kila kitu wanachofanya , kwa kujificha kwenye Mamlaka waliokuwa nayo , mfano DP weldi kama sio kampuni ya baadhi ya watu , wasiifungulie Tz na kuiweka ktk sóko la mitaji .manunuzi makubwa Kwani yanafanyika Kwa uwazi kiasi cha mtu kuziona hiyo noah na sio basi la Esther
 
a ha kumbe ni muslim (pia), kila mahali antichrists ni wengi sana, ndo maana mauaji yasiolezeka yametamalaki halafu ni kama vile hakuna kilichotokea, duh ...
Hiyo ya uhusika wake kwenye mauaji sijui na mafisadi ya dini zote yamehusika.

Vinginevyo historia yake amewahi hadithia mwenyewe Mwigulu. Ametokea familia ya kiislamu, kabadili dini akiwa secondary.
 
Mheshimiwa mama yake anaitwa Asha Ramadhan Omar? mke anaitwa neema. Mashallah. Mheshimiwa anapenda kuswali masjid gani?
hii ni kete ya udini inasukumwa kwa malengo binafsi ya 2030, anataka uungwaji mkono na pande zote.
 
Hiyo ya uhusika wake kwenye mauaji sijui na mafisadi ya dini zote yamehusika.

Vinginevyo historia yake amewahi hadithia mwenyewe Mwigulu. Ametokea familia ya kiislamu, kabadili dini akiwa secondary.

kwa hiyo “raisi” muslim, spika muslim na waziri mkuu pia muslim, kazi tunayo karne hii, hii haijawahi kutokea kuanzia kuanzishwa kwa republic yetu, duh …
 
 
Ila mtoto wake anapesa hadi anatoa msaada wa machine printers
 
Huyu mshamba yuko tayari hata kumkana mama yake mzazi ili mradi tu aendelee kuwa kwenye mfumo, pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…